Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,373
- 6,088
Mgodi wa CATA Mining uliopo Wilaya ya Butiama mkoani umesimamisha shughuli zake na kutoa likizo kwa muda usiojulikana baada ya serikali kuamuru mikataba yake ipitiwe upya baada ya kuonekana una utata.
Mgodi huo unamilikiwa na wawekezaji kutoka Canada na wazawa wawili wa hapa nchini. Mgodi huu ulipata mkopo wa dola milioni 54 sawa na shilingi bilioni 108 kutoka kwenye taasisi mbili za kifedha Tanzania (CRDB Bank na TIB), cha kushangazaa ni kuona wawekezaji wanaokuja kuwekeza hapa nchini kwa kutumia taasisi za kifedha hapa hapa nchini katika kuwekeza je sisi wataweza wenyewe tunashidwaje kuwekeza wenyewe.
Rais Magufuli ameamua kupitia mikataba yote yanayohusu uchimbaji madini nchini baada ya sekta kuchangia kiasi kidogo katika uchumi wa nchi hii.