Nchi hii na hapa tulipo viongozi wa CCM wametufikisha hapa

evansGREATDeal

JF-Expert Member
Jan 4, 2016
4,013
2,333
katika nchi zenye utajiri mkubwa wa rasilimali Africa Tanzania inautajiri mkubwa,...
Mungu aliumba dunia na akaweka rasilimali mbalimbali kwa kila nchi kwa ajili ya raia husika wa nchi fulani zitumike sawasawa ktk kusaidia raia kuishi ktk mazngira na sehemu nzuri,.....alipoweka mafuta kwa wingi sana bas madini yapo machache,...alipoweka madini kwa wingi ameweka mafuta machache nk
Tanzania tumebarikiwa na madini ya kila aina kama almas,dhahabu nk,.TANZANITE dunia nzima inapatikana tz tu,...ila tangu tupate uhuru 1961 tanzanite inachimbwa kwetu lakini kusafishwa inaenda south africa na inawekwa nembo za south afrika inaenda world market kuuzwa ikiwa kama imetoka south,...na waliofanya haya ni viongoz na wanajua hayo lakini hawataki kutafuta majawabu ili kufanya mabadiliko na madini yetu waya procces hapa nchin na kuuza kwa nembo zetu zaidi tunajenga nchi za wenzetu sisi tukibaki duni,...huwa nawaza sana ni kwanini viongoz wetu hawana uzalendo na nchi yetu ya ilhali wameweka maslahi yao binafsi mbele kuliko maslahi ya nchi????na raia wakibaki maskini wa kutupwa
hii ni kutokana na tamaa pamoja na ulafi,....Almas,dhahabu,tanzanite,makaa ya mawe,.gas,mito,bahari(bandari ya dar,tanga,mtwara,kigoma,nk)mlima kilimanjaro
mbuga ya serengeti inaingiza zaidi ya watalii 4,52485 kwa mwaka
ni kiasi kikubwa sana cha pesa,.manyara watalii zaidi ya 187773 kwa mwaka,
tarangile watalii 165949 hapo bado mt.kilimanjaro wakwanza afrika,....nchi inaingiza pesa nyingi sana ktk sekta ya utarii pekee,...
mikataba ya madini iko hovyo na kunufaisha wawekezaji na nchi ikibaki tupu,..
wawekezaji wanachimba hadi udongo wanaondoka nao na kutuachia mashimo kwetu yaliyotukuka,.....
hivi hii nchi viongoz wake wakoje?????
hata kenya wanatuzidi ujanja,..kuna mtu humu jf alisema wakenya wanachukua udongo wa madini kwenye maroli wanasafirisha kwao kenya kutoka moshi,....kweli TZ tumefikia hatua viongoz wamekosa uzalendo namna hii?????
nilipata hope kidogo rais JPM alivyosema kuwa atshughulikia mikataba ya madini yote na atasimamia sekta zote za kuingiza pato nchini,.Lakini sioni nia hata chembe,..madini watu bado wanapiga,..bandari kule ticts kumebinafsishwa..hizi ni baadhi ya rasilimali kwa uchache
1: Dhahabu
2: Almasi
3: Tanzanite
4: Uranium ipo Lindi na Selous
5: Gas ya mtwara na pwani
6: Makaa ya Mawe
7: Chuma
8: mbuga za kutosha
9: Samaki...
10: mlima Kilimanjaro wa kwanza afrika
11: Ngorongoro Crater
12: bahar-Bandari ya dsm,mtwara,kigoma,tanga pia samaki zipo za kutosha,.....

Viongozi wangekuwa wazalendo nchi ingeendeshwa na bandari tu na inawezekana maana bandari ikisimamiwa vizuri tunapata matrillions ya pesa,...lkn viongoz wasio na maono wapo
na wamepita hawakuwa na mpya zaidi ya upigaji kujineemesha,.......
Tukijumlisha na kodi inayokusdanywa kwa mwezi ya trillion 1.1 nchi inaeza kwenda bila mikopo maana rasilimali za nchi hazisimamiwi vizuri na hicho ndicho chanzo cha umaskini.........
VIONGOZ TUWE WAZALENDO KWA NCHI YETU TURIDHIKE NA TUNACHOPATA KUTOKA KTK MISHAHARA.............tz ni nchi tajiri zaidi ya ujuavyo.....
hii ni list ya 2010

13751716941811961509.jpg

hii ni list ya mwaka2015
  1. AfghanistanKabul


  2. AngolaLuanda


  3. BangladeshDhaka


  4. BeninPorto-Novo


  5. BhutanThimphu

  6. Burkina FasoOuagadougou


  7. BurundiBujumbura

    ;
  8. CambodiaPhnom Penh


  9. Cape VerdePraia


  10. Central African RepublicBangui


  11. ChadN'Djamena


  12. ComorosMoroni

    ;
  13. 13

    Democratic Republic of the CongoKinshasa


  14. DjiboutiDjibouti


  15. Equatorial GuineaMalabo

  16. EritreaAsmara


  17. EthiopiaAddis Ababa


  18. GambiaBanjul


  19. GuineaConakry


  20. Guinea-BissauBissau


  21. HaitiPort-au-Prince


  22. KiribatiSouth Tarawa


  23. LaosVientiane


  24. LesothoMaseru


  25. LiberiaMonrovia

  26. MadagascarAntananarivo


  27. MalawiLilongwe


  28. MaldivesMalé


  29. MaliBamako

    ;
  30. 30

    MauritaniaNouakchott


  31. MozambiqueMaputo


  32. MyanmarNaypyidaw


  33. NepalKathmandu


  34. NigerNiamey


  35. RwandaKigali

  36. SamoaApia


  37. São Tomé and PríncipeSão Tomé


  38. SenegalDakar


  39. Sierra LeoneFreetown


  40. Solomon IslandsHoniara


  41. SomaliaMogadishu

    ;
  42. 42

    SudanKhartoum


  43. Timor-LesteDili


  44. TogoLomé


  45. TuvaluFunafuti
  46. 46

    UgandaKampala

    ;
  47. 47

    TanzaniaDodoma

    ;
  48. 48

    VanuatuPort Vila

    ;
  49. 49

    YemenSana'a


  50. ZambiaLusaka
 
Though nothing new....
N kila kukicha hali inazd kuwa ngumu..
Tulihisi bwana mkubwa jpm ataleta changes kidogo ila ndo wale wale tu nayy
 
Sasa hapa ndio huwa nawaona upinzani wa bongo ni hovyo, badala ya kuweka sera zao kuonesha vipi wakipewa dola watakua tofauti na ccm; wao kila siku ni kulalamika tu kua ccm ndio imetufikisha hapa..hiki ndio ilikua kipindi cha kujiweka na kujitanua wao ni kulalamika tu wakija shtuka 2020 hio hapo na hamna walilofanya.hovyoo sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hapa ndio huwa nawaona upinzani wa bongo ni hovyo, badala ya kuweka sera zao kuonesha vipi wakipewa dola watakua tofauti na ccm; wao kila siku ni kulalamika tu kua ccm ndio imetufikisha hapa..hiki ndio ilikua kipindi cha kujiweka na kujitanua wao ni kulalamika tu wakija shtuka 2020 hio hapo na hamna walilofanya.hovyoo sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa unafatlia hoja za waponzani wkiongea??
 
Back
Top Bottom