Hi wanajamii,
Nisaidieni majina mawili ya kike na mawili ya kiume yanayo tumika katika dini zote,yaani kiislamu na kikristo.Nimtihani nimepewa.
Natanguliza shukrani.
hello JF,
huyu dada anauza,kalamu,bangili na mikufu ya wadada,ili kucreate Awareness about Lymphoma cancer,
wasioijua lymphoma cancer,click hapaWhat is lymphoma?
naona bado hajaweka bado...
Mimi Nakereka sana na hii kitu.
-Yaani mtu akienda shule hasa level za juu anajiona kamaliza dunia kweli yaani kila kitu anajua yeye.. Mimi naamni usome usisome lengo letu sote kutafuta pesa...
TAARIFA YA KUAHIRISHWA KWA DUA ILIYOTARAJIWA KUSOMWA LEO 25/08/2017 KUWAOMBEA WAISLAM WALIOKO MAHABUSU, WALIOUAWA AU KUPOTEA KUTOKANA NA MAKOSA MBALIMBALI.
Assalamualaikum,
Leo majira ya saa...
Jamani, ni vema niwape tahadhari nyie vidume mnaotembelea Dom. Mji mkuu umevamiwa na machangu hataree wanaoweka dozi ya usingizi ya kulala hata siku tano hujitambui.
Wameshaua kadhaa na wala...
Wangeandika Ngao ya Jamii 2017/18 na si kutufedhehesha Watanzania kwa kiwango hiki.
Hata kama wangependelea kuiandika kwa Lugha ya Malkia sasa huyo Afisa aliyeipokea kwanini hakuweza kujiongeza...
Habari zenu!
Wakazi wa Kimara Baruti soon wataanza kukitumia kituo cha Baruti kwa kupanda mabasi ya mwendo kasi pale pale badala ya kwenda Bucha au Kona. Yaani mashine zinawekwa hapo hapo!
Hili...
Hello JF,
Tunahitaji hii kitu,kuinvestigate shule na vyuo vinafundisha up to standard???
Kama havifaulishi,nini tatizo na nini mapendekezo ya hii board kipi kifanyike ili wafaulu?
vipi ipo...
Ni wezi. Nimelipa kifurushi cha 24,000 lakini mwezi mzima wananidanganya kuwa, mara elekeza Antena Zanzibar, Mari ielekeze Tanga. Nimesha ongea na kupitia number ya customer service zaidi ya mara...
Mkuu wa Mkoa, Paul Makonda ametuma ujumbe kwa Jeshi la Polisi na kuagiza kuwa Askari Polisi wote wanaotumia mamlaka yao vibaya dhidi ya wananchi wakamatwe na kulazwa rumande.
Sent using Jamii...
Kichwa hapo juu kinahusika.
kuna uwezekano Mkubwa Sana Wa Manji kuibuka na fedha nyingi Sana baada y'a kuibuka mshindi ktk lundo la Kesi zisizo na mashiko alizolundikiwa na serikali hii ya...
Vitu mbali mbali vyenye mahusiano na Zanzibar ikiwa ni pamoja na joho linaloelezwa kuwa limetokana na Sultan wa mwanzo wa Zanzibar, Sayyid Said bin Sultan (1832 - 1856), pamoja na picha za kuchora...
Maumivu ya kujenga nyumba hasa kwa watu wa kipato cha chini ni makali sana.
kuna kipindi watu...
Wanakula milo miwili ili nyumba ikamilike wahamie.
Kuna wengine wanagombana na marafiki maana...
WanaJF,
Nipo sehemu fulani mbali na Nyumbani kwangu kama wiki sasa,hapa nilipo muda mwingi natumia kupumzika hapa home nachat na kuangalia sana tv kupitia kingamuzi cha Startimes(ndo...
Kwa watumiaji wa king'amuzi cha StarTimes.
Picha kugandamana, sauti ya kigugumizi dawa yake hii hapa:-
Washa king'amuzi chako fungua mlango wa kuingizia card upo mkono wa kulia.
Chomoa kadi...
Wajumbe salaam,
Ninataka kununua king'amuzi na dishi ambavyo vitanipatia channel nyingi za free to air hasa za dini ya kikristo.
Mwenye ufahamu naomba msaada wa maelekezo tafadhali. Ikiwa pamoja...
huyu Dialo tulimuamini yeye ndiye atakua mkombozi ktk mambo ya digital.mchina wa startimes kachemka sasa cha kushangaza nimenunua kontinental ni majanga bora nirudi kwa mchina kwa sababu picha...