Wewe hiyo pumzi umeilipiaacha kupenda vya bure kijana......
hahahahahahaWewe hiyo pumzi umeilipia
Cable navutaje mieVuta cable achana na hanari za vingamuzi labda kama unataka kupamba nyumba
Wajumbe salaam,
Ninataka kununua king'amuzi na dishi ambavyo vitanipatia channel nyingi za free to air hasa za dini ya kikristo.
Mwenye ufahamu naomba msaada wa maelekezo tafadhali. Ikiwa pamoja na gharama kama inwezekana au bila gharama.
Shukrani