Dar es salaam. Ghorofa la Revy Kapinga, mjane aliyetaka kwenda kugalagala kwa Rais John Magufuli, limebomolewa nusu.
Jengo hilo ambalo pia lina ofisi ya Serikali ya Mtaa wa Stop Over...
Mwanzoni mwa miaka ya 2000 filamu za kitanzania hasa maigizo katika vipindi mbalimbali vya televisions vilifana sana.
Ingawa mwanzoni mwa 2010-2015 filamu zilianza kushuka kwa kazi kutokana na...
Selcom kama kazi ya kuhudumia watanzania imewashinda mtafute kazi nyingine. Haiwezekani nifanye muamala tangu jana na pesa isiingie kwenye simu badala yake mnasema funds will be credited within 30...
Naibu katibu mkuu wizara ya uchukuzi, Monica Mwamunyange
SERIKALI imekubali kuchukua madeni yote ya Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL) na kuyalipa, baada ya uhakiki ili kutoa fursa kwa shirika...
Je, ulishawai kujiuliza nchi ambazo wafanyakazi wanalipwa mishahara ya juu? Hebu tuangalie nchi kumi ambazo wafanyakazi wanapata malipo makubwa ya kazi zao wanazofanya
#10 Ufaransa
Ufaransa ni...
Habari nilizozipata jioni hii kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa BTL kuna tetesi kuwa wataviweka sokoni rasmi na washafunga mitambo yao. Ni full kuenjoy kwani unatumia antena ya ndani (indoor...
Naandika kwa uchungu sana baada ya kila dalili kuonyesha kwamba zile trilion 400 za kulipwa na Acacia hazipo tena, ina maana Noah kwa kila mtanzania hazipo tena( fikiria jinsi ambavyo...
Hi wanajamii,
Nisaidieni majina mawili ya kike na mawili ya kiume yanayo tumika katika dini zote,yaani kiislamu na kikristo.Nimtihani nimepewa.
Natanguliza shukrani.
hello JF,
huyu dada anauza,kalamu,bangili na mikufu ya wadada,ili kucreate Awareness about Lymphoma cancer,
wasioijua lymphoma cancer,click hapaWhat is lymphoma?
naona bado hajaweka bado...
Mimi Nakereka sana na hii kitu.
-Yaani mtu akienda shule hasa level za juu anajiona kamaliza dunia kweli yaani kila kitu anajua yeye.. Mimi naamni usome usisome lengo letu sote kutafuta pesa...
TAARIFA YA KUAHIRISHWA KWA DUA ILIYOTARAJIWA KUSOMWA LEO 25/08/2017 KUWAOMBEA WAISLAM WALIOKO MAHABUSU, WALIOUAWA AU KUPOTEA KUTOKANA NA MAKOSA MBALIMBALI.
Assalamualaikum,
Leo majira ya saa...
Jamani, ni vema niwape tahadhari nyie vidume mnaotembelea Dom. Mji mkuu umevamiwa na machangu hataree wanaoweka dozi ya usingizi ya kulala hata siku tano hujitambui.
Wameshaua kadhaa na wala...
Wangeandika Ngao ya Jamii 2017/18 na si kutufedhehesha Watanzania kwa kiwango hiki.
Hata kama wangependelea kuiandika kwa Lugha ya Malkia sasa huyo Afisa aliyeipokea kwanini hakuweza kujiongeza...
Habari zenu!
Wakazi wa Kimara Baruti soon wataanza kukitumia kituo cha Baruti kwa kupanda mabasi ya mwendo kasi pale pale badala ya kwenda Bucha au Kona. Yaani mashine zinawekwa hapo hapo!
Hili...