Wakuu kwa muda mrefu kumekua na malalamiko kwa wafanya kazi kukatwa mishahara yao kwa ajiri ya kuchangangia vyama vya wafanya kazi like cwt,sasa habari njema ni kua kwa wasiopenda kuendelea na...
Hello! Habari!!
Leo nakuja kwako na historia ya fursa
Fursa ni nini?
Fursa ni pungufu lolote ambalo unaliona katika jamii yako au kwa mtu yoyote na kuweza kulipatia suluhisho.
Hivi unafahamu...
Ajira za nchi yetu zimekuwa kitendawili, nani wa kukitegua? Zimekuwa zikitangazwa bila ya utekelezaji.
Wanaharakati wenzangu hebu tupa maoni yako juu ya hili, je! Nini kipo nyuma ya pazia la...
ROMA AKIWA HARARE, MIMI NITAKUWA GABORONE.
Umbali kutoka Harare hadi Gaborone, Botswana ni kilomita 927, sawa na umbali kutoka Mwanza kwenda Mbeya, kupitia barabara ya Dodoma – Iringa. Huu ndio...
Kumekuwa na tabia ya baadhi ya watu hasa viongozi kufananishwa na Baba wa taifa hayati Mwalimu Julius K. Nyerere. Kila nikijaribu kufuatailia hotuba mbalimbali za wakati wa uhai wake naona...
Tumezoea mshahara kutoka kila baada ya mwisho wa mwezi. Mwisho wa mwezi si kila tarehe 30 au moj ya kila mwezi rahasha bali ni tarehe ya mwezi inayofanana n tarehe ya mwezi ulopita. Kwa mfano...
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amezitaka kaya 150 zilizopo eneo la Jangwani katika Wilaya ya Ilala kujitathmini kama zinapaswa kuendelea kukaa eneo hilo kwa kuwa ni la hatari...
Naombeni nieleweshwe juu ya hili juu ya king'amuzi cha ting
Ni muda sasa page yao naona wanapigia promo lakini wanaweka matangazo kama ya mahubiri kwenye page yao
Ni kingamuzi cha dhehebu gani...
NAIBU Meya wa Manispaa ya Ilala, Omary Kumbilamoto amehimiza watu wenye ulemavu kutojinyanyapaa kwa kuchukulia ulemavu wao kuwa ni kikwazo katika kufanya kazi badala yake, wafanye kazi na kutumia...
Mtoto wa miaka miwili amefariki dunia na watu wengine watano wamejeruhiwa baada ya gari aina ya Toyota Land Cruiser walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kupinduka katika Kijiji cha Kibuta...
Kwako Polepole,
Punguza kutudanganya watanzania. Jana Rais kawawakia TAKUKURU kuhusu kusikia tuhuma na kuzifanyia kazi, lakini wewe ulidai Rais alipelekewa rushwa ya bilioni 300 na Acacia...
DAR: Mwanasheria wa Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira(NEMC) amesema zaidi ya nyumba 17,000 zilizojengwa kinyume na sheria katika Bonde la Msimbazi zitabomolewa
Baraza la Taifa la...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchin (IGP) Simon Siro Amesema kuwa kamata kamata itaendelea na kwamba hufanya kwa watuhumiwa bila kuangalia jina la mtu. Kamanda Siro ameyasema hayo Leo wakat azungumva...
Leo nikiwa site eneo la bwawani linalopatikana Malamba mawili huko Mbezi mwisho, baada ya kugombana gombana na mafundi muda wa lunch ukawadia nikajisogeza eneo moja la mama ntilie ndio hapo...
Kuna baadhi ya watu wameokoka na hawakosi kanisani jumapili na mara nyingine jioni lakini nafsi zao sijui zikoje maana roho mbaya pamoja na kupenda hela kupita kiasi ukiwa mtoaji yeye anakuona...
Kwahili la Kimara hamtendei haki watu wa Kimara.
Ombi limulikieni macho watanzani wajue tabu tunayopata sauti yenu ni tiba
Wakina Lisu, Mbowe, Zito, Nape na kina Makamba wote hawa wamefungwa mdomo...
Habari zenu keaho nimeamua mwenyewe kuachana na Halotel nahamia zangu Ttcl rasmi.
Nimejaribu kuwavumilia haka kamchezo kao ka kupoteza dira kwenye suala la internet coverage, Lakini yamenishinda...
Rais Kikwete mwaka jana alifungua kiwanda cha kutengeneza bacteria kilichojengwa Kibaha kwa ajili ya kutafuna viluwiluwi vya mbu pale dawa hiyo inapowekwa kwenye madimbwi ya maji. Kiwanda hiki...
Hivi sasa kila barabara utakayopita jijini Dar hsusan mida ya jioni lazima ukutane na wamama wanauza mihogo na karanga na walaji wakubwa ni kina baba hivi kazi yake hasa ni nini?
Je, hii ni sawa...