Mhenga Lucky Philip Dube alishawahi kuimba "Crime Does Not Pay" yaani uhalifu haulipi. Kwa dhati ya moyo wangu naamini fungate(honey moon) la mauwaji Kibiti limeisha. Wale wenye kushabikia mauwaji...
Wakuu salam kwenu,
Nianze kuwatakia mtihani mwema wadogo zangu 2017.
Hoja yangu ni hii inayoitwa elimu ya msingi, Nilidhani ndio msingi wa maisha ya mwanadamu katika hali zote kumbe sio. Ni...
Aliyekuwa mwandishi nguli na mkuu wa Wilaya za Handeni na Morogoro, Muhingo Rweyemamu amefariki dunia asubuhi ya leo.
Kwa mujibu wa watu wake wa karibu, Muhingo ameumwa kwa muda mrefu. Anadaiwa...
Mwakilishi wa Zantel-Tanga Mansoor Ally, (kulia) akikabidhi mbuzi kwa kituo cha kulea watoto yatima cha Goodwill & Humanity Foundation kilichopo jijini Tanga wakati wa hafla ya makabidhiano...
Hatukatai kwamba mnafanya Biashara na wao ( hawa Vijana na Mabinti ) wanaowauzia nao pia wanapata Pesa kutokana na mauzo yao ili mradi tu maisha yaendelee na mkono uende Kinywani ila nadhani kwa...
Naomba mnisamehe wahusika kwa mawazo yangu. Hii ni katika kujaribu kuisaidia serikali kukusanya mapato na kupeleka huduma kwa wananchi. Naishauri serikali kufikiria kuanza kukusanya kodi kwenye...
Katika nembo yetu ya taifa nimekaa nikaitizama kwa umakini hapo hapo likanijia swali hadi ikanipelekea kuuliza..
Hivi kwenye ile nembo ya yule bibi na bwana je hivi ni kwa nini yule bwana...
MAMA Shamim Juma mkazi wa Dar es Salaam ambaye ni mwenyeji wa mkoani Mwanza anadai kuwa aliibiwa mwanaye wa miaka miwili, kisha kumpata akiwa mkubwa wa umri wa miaka 15.
Baada kufuatilia inadaiwa...
Hii ni moja kati ya hospitali kongwe kabisa jijini Mwanza zaidi ya miaka 47 iliyopita,
Kwa wale wenye kufahamu kidogo kuhusu huduma na gharama kwa ujumla za kujifungua katika hospitali hii msaada...
Kila mara vyombo vya habari vina report sana matukio mabaya yanayohusiana na Imani za kushirikiana na uchawi.
Utasikia tu amekamatwa akiwa ana wanga,
Utasikia amekamatwa na mtoto akamtoe kafara...
kuna watu katika marafiki ulionao ambao wanaangalia na kukagua page yako kila cku., lakini hakuna like wala coments ya aina yyte..balaa zaid n kwamba wameshindwa hata kukufuta maana wanaogopa sana...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habali hapo
Sitaki kuongeza au kupunguza neno
Wizara ya afya kupitia kwa mkurungez wake wa magonjwa yasiyo pewa kipaumbele katika...
CHAMA cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (Taboa), kimetangaza kusitisha huduma za usafiri nchi nzima keshokutwa endapo madai yao ya msingi hayatashughulikiwa na Mamlaka ya Usafiri wa Nchi Kavu na...
Mtu mmoja anayejulikana kwa jina la Emmanuel Songoye ameuawa kwa kuchomwa moto na wananchi katika kijiji cha Kabanga wilayani Kasulu mkoani Kigoma katika tukio ambalo pia wameteketeza kwa moto...
Kuna ajali mbaya kati ya roli na noah eneo la Ubena karibu na Bwawani. Njia haipitiki na foleni ya magari ni ndefu na inakaribia Mdaula!
Hii imesababishwa na roli kupinduka na kuziba njia...
Wadukuzi wameingilia mifumo ya kompyuta wakitumia virusi moja kiitwacho Ransomware na kingine "WannaCry" ambavyo vinaingia katika mifumo wa kompyuta kwa kupitia mfumo wa barua pepe na matangazo...
MASWALI NA MAJIBU.
Rafiki yangu mmoja hivi ameniuliza swali kama ifuatavyo.
Mtumishi, Marekani ilifunga mtambo wa kudungua makombora katika nchi ya japan kwa lengo la kuilinda na makombora...
Wakazi wa Pasua,mjini Moshi wakifukua kaburi la Juma Hamis(26)mkazi wa Boma mbuzi baada ya mahakama kuamuru kaburi hilo lifukuliwe kwa ajili yakufanyiwa vipimo vya uchunguzi zaidi.
Juma Hamis...