Gerald Robert
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 337
- 219
MASWALI NA MAJIBU.
Rafiki yangu mmoja hivi ameniuliza swali kama ifuatavyo.
Mtumishi, Marekani ilifunga mtambo wa kudungua makombora katika nchi ya japan kwa lengo la kuilinda na makombora kutoka Korea Kaskazini,
SWALI,
Ni kwanini kombora la Korea Kaskazini lilifanikiwa kupita katika anga ya JAPAN bila kudunguliwa na wakati pale kuna mtambo wa kudungua makombora, au je mtambo ule ni feki?
Nawasilisha.
_________________________
Majibu.
Ni kweli kabisa kwamba Marekani ilifunga mtambo wa kudungua makombora pale JAPAN ujulikanao kwajina la THAAD
Lakini kabla sijakujibu swali lako la msingi kwamba
NI KWANINI KOMBORA LA KOREA KASKAZINI LILIFANIKIWA KUPITA KATIKA ANGA YA JAPANI WAKATI MAREKANI ILIFUNGA PALE MTAMBO WA KUDUNGUA MAKOMBORA?,
Ni vema kwanza tukafahamu maana halisi ya KOMBORA.
KOMBORA NI NINI?
Watu wanapaswa kuelewa kwamba KOMBORA sio BOMU, ila kombora ni kibebeo cha bomu. Lakini kombora pia huweza kubeba SATELITE, , namaanisha hata satelite unazozifahamu wewe hizo nazo huwa zinalushwa angani kwakutumia makombora.
Kwa maana hiyo kombora ni kibebeo ambacho huweza kubeba kitu chochote kitakachowekwa ndani ya kombora husika na kukisafirisha popote kulingana na uwezo wa kombora husika.
Watu wanapaswa kuelewa kwamba, KOREA KASKAZINI inafanya majaribio ya Makombora, sio majaribio ya mabomu. Maana kuna tofauti kubwa sana kati ya kombora na Bomu.
Kombora linaweza kubeba BOMU na kulisafirisha popote lilikosudiwa kulingana na uwezo wa kombora husika. Unaweza ukalusha Bomu la nyuklia kwa kutumia kombora. Unaweza ukarusha Bomu la kibaiolojia kwa kutumia kombora.
Na pia Unaweza ukalusha Satelite angani kwa kutumia kombora. Kombora halina madhara, ila kile kinachobebwa ndani ya kombora ndicho chaweza kuwa na madhara.
JIBU LA MSINGI.
KWANINI KOMBORA HALIJADUNGULIWA.
Kazi ya kubwa ya Mtambo ya kudungua makombora, ni kudungua Makombora ambayo yenye Mabomu (sio kombora tupu). Kwahiyo lile kombora liliweza kupita bila kudunguliwa na THAAD ni kwasababu lilikuwa kombora tupu (halijabebeshwa bomu lolote)
Kama mtakumbuka vita vya ISRAEL NA HAMASI. Israel ilifunga mitambo ya kudungua makombora ainaya IRONE DOME, Katika makombora 50 yaliyovurumishwa na hamasi, 49 yalikamatwa na huo mtambo ya Irone Dome.
==========!====!=
Risasi.
Risasi imegawanyika katika sehemu kuu 3
1, Housing (kasha/ jumba)
2, Baruti inayosukuma risasi.
3, Risasi yenyewe.
Kwahiyo kiti chenye madhara hapo ni ile risasi, wala sio ile Housing au kasaha.
KOMBORA.
Kombora nalo linasehemu kuu 3
1, Housing (jumba/ kasha)
2, Baruti (mlipuko) ambao kazi yake ni kusafirisha Housing (kasha)
3, Nafasi ya wazi (kwaajili ya kubebea kitu kinachokusudiwa)
Kwahiyo kama Kim Jong Un ataamini kwamba ule mtambo ni feki, atakuwa amefanya makosa makubwa sana ambayo hayajawahi kufanywa hata na mwendawazimu.
Naomba niishie hapa.
Ahsante