Zaidi kuhusu sakata la utekwaji mpaka umauti soma...
=> Kukithiri kwa vitendo vya Utekaji wa watoto/kidnapping katika Jiji la Arusha
=> ARUSHA: Watoto wawili kati ya wanne waliokuwa wametekwa...
Habari zenu wakuu.
Imekuwa ni jambo la kawaida sana katika hili jukwaa la Siasa kwa watu kulumbana kwa hoja na hata kukaripiana ikibidi.
Siku za nyuma kidogo Mh. Lisu alitoa taarifa kuhusu watu...
MUNGU ANANENA HAYA JUU YA MTUMISHI WAKE .
**"""TUNDU LISSU"""**
ISAYA 41:10-12.
(10) Usiogope kwa maana Mimi nipo pamoja nawe,Usifadhaike kwa maana Mimi ni...
Waungwana nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu hili na leo nimeona bora niwashirikishe na great thinkers wa JF nipate kuelewa zaidi mimi na wengine hasa wafata mkumbo,,
Imekuwa ni kawaida sana kila...
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora
Kitalu Na. 8, Mtaa wa Luthuli
S.L.P 2643, DAR ES SALAAM
Simu: +255 22 2135747/8; 2137125; 2135222
Faksi: +255 22 2111281
B/Pepe: chragg@chragg.go.tz...
Ifuatayo ni orodha ya matukio yaliyoleta hofu nchini lakini yamefanywa na WATU WASIOJULIKANA mpaka leo:
*nape nnauye kutishwa na bastola hadharani (jabo alionekana ila hajulikani na lilifanyika...
Habari zenu wakùu ni matumaini hamjambo.Rais wa Urusi Vladimir Putin amwambia mwenzake wa Marekani endapo atawapa maadui wa Urusi silaha yani Ukraine naye atajibu kwa kuwapa silaha maadui wa...
Ninaanza mjadala huu
Kwa kuiangazia marekani. Sababu inayoifanya marekani iwe nchi thabiti kijeshi ni kwamba, hawa jamaa wamepigana vita nyingi. Katika hizo vita waligundua mbinu na vifaa mbali...
CLUB AMBIANCE ( CORNER BAR) YAFUNGWA RASMI KINONDONI
Club maarufu ya KONA Bar imefungwa rasmi leo na maafisa biashara na mazingira wa manispaa ya Kinondoni kufuatia agizo la Mkuu wa Wilaya ya...
Chadema wamempeleka Tundu Lisu Kenya badala ya Muhimbili yetu kwa madai hawaamini Muhimbili yetu kiusalama, lakini cha ajabu wanalalamika kutokupata msaada katika Ubalozi wetu, kuna wa...
Kweli tunakosea kupaki na tuko tayari kulipa kwa makosa haya, lakini hawa watu wanakuzungusha na mwisho wanapigiana simu uku na Kule.
Swali: Haya ni Mapato kwanini hawa watu wasitembee na EFD...
Wakijibu swali la ziada bungeni la Bi. Mollel, kwa nini mteja wa kisimbusi akiwa hana kifurushi anakosa kuona tv za kitaifa, wamesema ni kwa vile wenye visimbusi hawajalipwa tozo zao na wenye tv...
NA Juma George Chikawe.
Naendelea kuhuzunika kama Mtanzania na kama Mzalendo kwa nchi yangu, ninapoona watanzania tunalazimishwa kucheza ngoma za siasa hata kama hatupendi kuzicheza. Ni...
Kwa mujibu wa maelezo ya dereva wa Tundu Lissu, gari lile lililowashambulia kwa risasi lilikuwa likiwafuatilia kwa muda mrefu. Kama gari lao lingekuwa na camera nyuma ya gari wangeweza kulipiga...
Karibuni.
Wakati Fulani ktk harakati za kusaka tonge, huku nikijua elimu muhimu kuliko zote ni elimu mtaani, na nilipoona university certificates zangu zinanchelewesha mtaani kupata kazi, basi...
Mtu anapokufa JMT huwa ina peleleza, inakamata kisha ina hukumu ambapo shauri litakuwa kati ya JMT dhidi ya mtuhumiwa mtu anapojeruhiwa huwa ni kwamba aliyejeruhiwa anatakiwa akashitaki kituo cha...
Katika hali ya kusikitisha mtu mmoja aliye julikana kwa majina ya Benja Chaula mkazi wa Chamwino Morogoro amejinyonga hadi kufa akiwa ndani ya chumba chake kwa kutumia shuka ambapo chanzo cha...
Mrajisi Msaidizi wa vyama vya ushirika mkoani Mbeya,Angela Maganga amewasimamisha kazi viongozi wote wa bodi ya chama cha kuweka na kukopa cha UWAMU SACCOS cha jijini Mbeya baada ya viongozi hao...
Hivi vibao vya katazo zaidi ya speed 50 ni kwa ajili ya magari tu, kwani waendesha pikipiki wanapita wakiwa zaidi ya speed 100 na hamna hatua zozote zinazochukuliwa dhidi yao!?
Sent using Jamii...