KIMIYAKIMIYA
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 244
- 322
Hivi vibao vya katazo zaidi ya speed 50 ni kwa ajili ya magari tu, kwani waendesha pikipiki wanapita wakiwa zaidi ya speed 100 na hamna hatua zozote zinazochukuliwa dhidi yao!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app