Wakijibu swali la ziada bungeni la Bi. Mollel, kwa nini mteja wa kisimbusi akiwa hana kifurushi anakosa kuona tv za kitaifa, wamesema ni kwa vile wenye visimbusi hawajalipwa tozo zao na wenye tv za kitaifa.
Hilo ni jibu la hadithi za 'karumekenge'. Kweli kila idara na wajuvi wao.
Kifupi halikupaswa kujibiwa na wizara ya habari. Waliotoa tamko la awali ni wizara ya mawasiliano. Usichanganye na mawasiliano ya mkulu inayotoa habari!
Tatizo la kutokuona tv za kitaifa lilishatahadharishwa na wamiliki wazawa wa tv. Ajabu ndio wanaobeba mzigo walionyimwa.
Jukumu la kurusha lilipewa kampuni ambayo imepewa eneo ndani ya taasisi ya vielelezo na filamu ya serikali bamanga na minara yao maeneo ya .. ni makongo .. utajaza. Wamepewa masafa ya t1 na t2 zaidi ya matano.
Ilipendekezwa jukumu lipewe mzawa au serikali. Serikali inaweza ikajipa safa moja lenye tv zaidi ya 36 za ubora wa kawaida na kuiamuru hiyo kampuni iliyopewa maeneo nyeti ya serikali. Hakuna haja ya tv za kitaifa kuwalipa hii kampuni. Kuna mzawa alijitolea kwa hili hakusikilizwa.