Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kama kichwa cha barua kinavyojieleza....nahitaji muandishi wa habari wa gazeti/radio/tv kuna habari nataka nimnyetishe...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Habar za weekend ndugu zangu katka imani. Husikeni na kichwa cha habar hapo juu.Mm ni Mtanzania mwenzenu na kuna jambo limekuwa likinisumbua sana...,nmekuwa nikiwauliza Watanzania tofautitofauti...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
MSTAHIKI Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita amekutana na ugeni kutoka Jiji la Shanghai nchini China na kujadili mambo mbalimbali yamaendeleo jijini hapa ikiwemo suala la uboreshaji wa kituo...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwanini watu wenye kutoa sana ushauri juu ya ujasiliamari,afya au maisha lakini wao unakuta sio matajiari,na kama ni Dr unakuta na niwagonjwa labda wa HIV/aid sasa Mimi najiuliza tatizo linkuwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Rais wa TCIA akifafanua jambo mbele wa wafabiashara walioshirika katika mkutano mkuu wa mwaka. Chama cha wafanyakazi, kilimo na viwanda Tanzania kimefanya mkutano wake mkuu wa mwaka pamoja na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wanajf, Nimesikitishwa sana na huduma inayotolewa na benki ya CRDB tawi la KAWE.Nina tatizo la kadi yangu na nilienda CRDB tawi la mbezi kuomba mpya na nimeambiwa nisubiri mpaka baada ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Uchambuzi Wa Kina: Nini Hasa Kimemfanya Magufuli Abadilike Kiasi Hiki?: Mara baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka juzi nilipata ujumbe kutoka kwa watu kadhaa wakinieleza kuwa kwa namna moja au nyingine...
0 Reactions
1 Replies
888 Views
Licha ya kuongezeka kwa wananchi wanaotumia huduma za fedha, utafiti unaonyesha nusu ya watu wazima hawafahamu kiwango cha fedha walichotumia wiki iliyopita. Matokeo ya utafiti wa awamu ya nne wa...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Pasipo kupoteza muda! Kumekuwepo na malalamiko mengi sana juu ya jeshi la polisi kitengo cha traffic kwamba wananyanyasa sana wenye magari barabarani! Kuna watu wamefikia hatua hadi kuwaita...
2 Reactions
55 Replies
5K Views
salaam.. ripoti ya World Bank inaonesha kuwa mara nyingi wanafunzi wa Afrika hufeli kwa sababu ya walimum kutohudhuria darasani muda mwingi.
2 Reactions
63 Replies
5K Views
Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Mkoani Manyara, Chelestino Mofuga ameziagiza halmashauri mbili zilizopo wilayani humo zitunge sheria ndogo za udhibiti wa kutengeneza, kuuzaji na kunywa pombe hizo ili...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naibu Waziri wa Kilimo, Uvuvi na Ufugaji, William Tate Olenasha ameagiza nyumba ya mwekezaji iliyojengwa kwenye mfereji wa kupeleka maji katika mashamba ya wakulima wa ushirika Ruvu ibomolewe...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Asilimia 60 ya mashuka ya hospitali ya Wilaya ya Kinondoni ya Mwananyamala yamedaiwa kupotelea Muhimbili. Mganga Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni, Dk Festo Duganga alisema hayo leo wakati wa ziara...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Chanzo Habari Leo Nyumba ni Kali huu mtindo itabidi uendelee kwenye kambi zote
2 Reactions
66 Replies
6K Views
Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tukta) mkoani Mara, limesema baadhi ya wanachama wao waliotumbuliwa kimakosa katika sakata la vyeti feki wanarudishwa kazini. Kauli hiyo ilitolewa na...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Hivi karibuni nimekuwa nafatilia vipindi vyenu! Mnafanya vzr vipindi vingine lkn kuna kipindi Fulani kinaitwa meza ya busara na kuna kikundi Fulani kimetengenezwa na mnaemfahamu kuwajadili...
5 Reactions
76 Replies
6K Views
Ofisa Tarafa wa Lupiro wilayani Ulanga Mkoa wa Morogoro, Beno Polisi ameuawa na watu wasiofahamika usiku wa kuamkia jana. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Leonce Rwegasira...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni mda sasa Mzee wetu huyu kawa kimya sana wakati wa JK alitusaidia sana kuikosaa serikali. Sasa Mzee imekuaje sasa hata neno moja tu juu ya awamu ya tano huna.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwa jinsi ombaomba walivyo wengi Feri, ombaomba kipofu anaweza kuwalaani watu wanaompita bila kumpa Msaada, kumbe wanaopita ni ombaomba wenzake wanaoona.
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwanza hongereni sana kwa kufanikiwa kuendelea na harakati zako za maisha ya kielimu.. Ni ukweli usipingika kwamba mwaka huu wengi mtachaguliwa vyuo vikuu ambavyo nyinyi wenyewe mnavitaka na hii...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…