Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Leo October 2 2017 ni siku ya makazi duniani na maadhimisho hayo yamefanyika ukumbi wa Karimjee DSM. Akizungumza kwenye maadhimisho hayo, Naibu Waziri wa ardhi, Angelina Mabula ameeleza kuhusu...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kama ikatokea ukafa leo; 1. Tukukumbuke kwa jinsi ulivyokuwa na roho mbaya na ukawa unafurahia kuwaona watanzania wakiteseka, na unapoweza ukatumia mikono mdomo, mamlaka na hata akili yako...
0 Reactions
13 Replies
977 Views
Tanzania haiachi maigizo kila siku naona sasa tumeanza na mitindo ya kutembea na mobile cctv ilimradi tu mtu arekodiwe na kuwekwa Youtube Hii nayo ni mikakati mipya kabisa katika siasa za...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Habari marafiki zangu Siku ya leo nimeona niwaambie kitu ambacho ni muhimu sana kwenu au kwetu sote, jambo ambalo muda mrefu lilikuwa linanitatiza ndani ya moyo wangu nak usema ni lini nitalisema...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
wadau habari zenu naomba mnijuze hii bomowa bomowa naona sasa inarudi kinyume nyume badala ya kwenda mbere tumeambiwa ujenzi wa barabara unaanzia kimara mlandizi na kuendelea sasa leo wanavuja...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za Majukumu Walipa Kodi Wenzangu Mteja angependa kupata ufafanuzi Kutoka TRA-Morogoro juu ya aina hii ya faini. Tarehe 20/01/2017,mteja alikwenda TRA-Morogoro kufanyiwa makadirio...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kumekuwa na mambo yanayo endeshwa na tigo fiesta na clouds media kwa kusema sijui wanafundisha au kumjengea uwezo wa uchumi mimi napinga kwa herufi kubwa nimefuatilia muda mrefu semina zao wao zao...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Watu wengi hupenda kuwasema wazaramo ni waongeaji, mara wazaramo hivi lakini asikwambie mtu katika makabila yote Tanzania sijawahi kuona watu wenye roho nzuri kama wazaramo na wakarimu kama...
2 Reactions
29 Replies
8K Views
Mkazi wa Mtaa wa Mitandi Lindi Mjini, Mussa Hassan (35) amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela na kulipa fidia ya Sh1 milioni, baada ya kukutwa na makosa ya kubaka na kumpa mimba mwanafunzi wa...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Mamlaka ya udhibiti wa mbolea Tanzania TFRA imeanza operesheni maalum kuwakamata na kuwachukulia hatua wamiliki wa maduka ya pembejeo za mifugo wanaouza mbolea bei juu ikilinganishwa na bei...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Serikali mkoani Lindi imepanga kuwafukuza mjini watu wasiokuwa na nyumba bora kwani ndio wanachangia kuharibu taswira ya mji na kufanya udumae na serikali haitawavumilia
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Wakuu naombeni msaada ktk hili ili taratibu tuanze jifunza uchumi siasa wa bongo ili mambo mengine yasijekuwa ndio fashion. Hivi ikitokea watu walioaminiwa kma mhasibu na mweka saini mwingine...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Napenda kuwafahamisha wahusika hao kama nilivyowataja hapo juu, kuwa wananchi wenu wanateseka na wametapakaa kila mahali wilayani Karatu wakiomba misaada ya kupatiwa mahindi ili watume makwao na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MWANASHERIA Grace Timoth ameiomba Serikali kuruhusu kesi zinazohusu mimba kwa wanafunzi, kuendeshwa na mahakama za mwanzo, badala ya mahakama za wilaya. Amesema hali hiyo itawaondolea mzigo...
0 Reactions
1 Replies
968 Views
Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Barabara (RFB), Joseph Haule BODI ya Mfuko wa Barabara imeziamuru halmashauri saba nchini zilizotumia zaidi ya Sh milioni 359.5 zilizotolewa kwa ajili ya kujengea...
0 Reactions
1 Replies
791 Views
Chondechonde wahusika mliangalie hili kwa jicho la tatu, yanaruhusiwa kutoka Kimara dak 30, ataruhusu tena kutoka posta dak 30, ila kazi ipo yanayotoka Buguruni ni dak 5 tu si zaidi anastop. Sasa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau, Ningenda tu kuwatanabaisha wanajamvi wenzangu kuhusu jambo hili. Kwa sababu inawezekana wengi habari zao zinavuja bila wao kujua. Sana sana kwenye mitandao kama JF pale ambapo watu...
8 Reactions
21 Replies
3K Views
Mahakama moja nchini Kenya imewatoza faini ya sh 20,000 au kwenda jela miezi mitatu watu wenye ulemavu kutoka Tanzania ambao walikuwa wanaombaomba katika mji wa Kerugoya. Wakati huo huo msako...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Baadhi ya wachimbaji madini ya dhahabu wadogo wadogo wawameulalamikia uongozi wa mgodi wa Ilindi uliopo wilaya ya Kahama mkoa wa Shinyanga kwa kuwauzia maeneo ya uchimbaji kiasi cha shilingi...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…