Natambua kabisa kwamba katika Media ambayo hapa Tanzania ina Watangazaji na Waandishi wa Habari Wasomi kabisa tena wa ngazi za Kuanzia Degree hadi Masters ni TBC pekee huku katika Media zingine...
Kila ninapona picha za jiji la Mza na jinsi vilima vyake vilivyovamiwa na makazi, najawa na hofu. Hofu ya kuupoteza hilo jiji, ikitokea hayo mawe yaliyo kwenye hivyo vilima, yatakapoporomoka kwa...
Daktari Bingwa wa Macho na Mkuu wa Idara ya Macho katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dkt. Baruani Mtemi Sufiani amesema kuwa Kope za Bandia zina madhara makubwa sana kiafya katika macho...
Mh.., sawa nakubali unafanya kazi sana kwa ajili ya Taifa hili ila sasa mbona hatuoni uafuu sisi wananchi huku?? Naomba ufanye press conference kulifafanua hili bila vijembe wala kutukashifu...
Vijana watatu wa Clouds TV Leo asubuhi wakipitia vichwa vya Habari vya magazetini walionekana kutetemeka pale waliposhika Gazeti lenye kichwa cha Habari kinacho muhusu Mh. Tundu Lissu. Kwa hakika...
Salaam
Imekuwa Kawaida kwangu mwili kusisimka Yani kama nimemwagiwa maji ya baridi Nikipita maeneo baadhi
Zaidi ya Mara tano nikiwa kwenye mizunguko najikuta nafika sehemu nguvu za kuendelea...
Nimekuwa nikisikia baadhi ya Wakristo wakiimba wimbo wa Taifa kanisani, mfano Kanisa Katoliki. Je unadhani ni sahihi kuimba wimbo wa taifa kanisani?
Ina maana wimbo wa taifa unaimbwa mahali...
Kuna kawaida ya watanzania kuposti picha za walemavu kwenye mitandao na kukomenti Amin, Mungu amsaidie, Mapenzi ya bwana yatimizwe na vitu vya aina hiyo.
Sasa najiuliza kutimizwa kwa haya mapenzi...
Waliokuwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Lucky Vincent ya mjini Arusha, walionusurika katika ajali ya basi na kupelekwa nchini Marekani kwa matibabu, huenda wakarejea nchini humo kuendelea na masomo...
Tukio hilo lilizua gumzo kubwa nchini baada ya picha zilizopigwa kwa kutumia simu ya mkononi kusambazwa kwenye mitandao zikionyesha wakulima hao wa kizungu wakimsukuma Victor Mlothshwa, mkazi wa...
Hii story anayosimulia mbona imo humu jamii forums mda mwingi, au huwa anatoa humu story then anafanya kuwa kuna watu wamemtafuta?
Nimeumia sana! Nisamehe E, sitakuchafua tena
Ka copy huu Uzi(ndo...
sitaki kuhoji uharaka wa kutoa vyeti vya pongezi kama barua inavyosema... Je itakuwaje kukiwa na mabadiliko huko mbele? Kwakuwa ishu ya kulipwa dollar million 300, sio dollar billion 700 bado...
Poleni na mjukumu wakuu,
Baada ya kushangaa na kujiuliza kwa muda mrefu hatimae nimewaelewa wanawake wa zama hizi. Wanawake wa sasa hawapendi kuolewa na mwanaume mwenye akili...
Hii imetokea huko uganda baada ya baadhi ya watu kuliwa na wenzao sasa taharuki imetanda na baadhi ya watu wamekimbia makazi yao baada ya kuogopa kufanywa kitoweo.
Alivyosikia Tundu Lisu amepata nafuu na kupiga picha basi CEO wa Barrick akaamua kukodi ndege kwa kutumia fedha za Kampuni ktk Kanada mpaka Dar ili kuja kuzuia Tundu Lisu asijadiliwe,
Irony off...