Wana jamvi hebu tujadili swala hili kwanza,
Tuzungumzie makazi ulikopanga chumba una muda mrefu unaishi hapo au nyumbani kwako na si kwingineko. Je umewahi kulala bila maji ndani kwako unapoishi...
Nafungua uzi huu Baada ya kusumbuliwa na TRA na mpaka sasa nimegoma sitatoa hata mia hadi kieleweke.
Toka juzi nimekuwa nikienda TRA kila siku kuomba kurenew Driving Licence yangu. Wahusika...
Shule ya msingi Lumbanga iliyopo katika halmashauri ya wilaya ya Malinyi, ni shule ya wafugaji baada ya maboresho ya ujenzi wa majengo 2016 yaliyosimamiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya...
Hili swala sijawahi kulielewa kuhusu sisi Waafrika, wengi wetu utakuta akiwa nchi za Wazungu akikamatwa na askari wa huko kwa makosa la barabarani analipa bila hata ya ubishi lakini Mwafrika huyo...
Salaam GT,
Ukiingia Mbeya madereva usipokuwa makini kila mara 30 itakutoka mana trafik wa huko wameweka zebra(kivuko cha watembea kwa miguu kama mradi.
Yaani kwenye zebra ni lazima usimame iwe...
Hiki ni kipande kidogo mbele ya gereza la segerea kabla ya kuvuka daraja kama unatokea segerea,
Kuna miinuko iliyopo karibu sana na barabara pande zote mbili na unaonekana landslide inaweza...
Naomba kuelekezwa kazi ya zile stika za nenda kwa usalama. Kazi yake nini?
Kwanini zinauzwa na kazi ya pesa zinazokusanya ni IPI? Hizo pesa zinasimamiwa na wizara au idara IPI? Maana tumeambiwa...
Ukifuatilia kimatendo, huwezi kuona sera wala itikadi yoyote ambayo inaendeshwa kwa sasa kati ya vyama viwili yaani CCM na CHADEMA. CCM ili kufanikisha mambo yao ambayo wanataka yawe mara nyingi...
Mkuu wa mkoa wa Rukwa Bw Zelothe Steven,amepiga marufuku wafanyabiashara ya mazao kutoka maeneo mbalimbali nchini, kwenda na malori yao moja kwa moja kwenye kijiji cha safu, kilichoko mpakani na...
Pamoja na kauli ya Mh Rais ila hawa ndugu zetu Sijui imekuwaje mpaka sasa watoto wa kidato cha kwanza wanakaa chini, wengine kwenye ndoo inatia aibu sana hii kitu Mh Kigwangala upo wapi, afisa...
Salam Wakuu!
Ni wazi kutokana msukumo wa maisha inalazimu watu kubuni njia mbalimbali ili kukabiliana na hali halisi kwaajili ya kupata riziki.
Hali ilivyo pale maeneo ya Mbagala kuanzia Zakhem...
Naomba kuuliza kuna kifimbo fulani kina kama manyoya myeusi kwa mbele hua anakishika sana Raila Odinga kila anapokwenda haswa sehemu za mikutano ya wafuasi wake, amekua anakifanyia ishara kama...
Prof. Mark James Mwandosya amezindua kitabu chake alichokiandika na kukipa jina la "BRIDGE ACROSS THE RIVER NILE". Uzinduzi wa kitabu hicho umefanyika jana Jumanne tarehe 24 Oktoba, 2017 katika...
leo hali nmeona imezidi kuwa mbaya barabarani. jamaa yangu mmoja yupo huko kanambia maboss wao wamekuwa wakali sana. maana nao wanafokewa wapeleke mapato. Hazina hakuna pesa kabisa. wameambiwa...
Amani kwenu wadau
Kila baada ya muda tunasikia watu wanasherekea siku zao za kuzaliwa kwa kufanya sherehe na kuita watu kujumuika nao na kupata chochote kitu ila utamaduni huu unaonekana ni wa...
Amani Ya Bwana Izidi Kuwa Nanyi Ndugu Zangu Wote.
Katika Kuzidi Kuonyesha Upendo Kwa Wake Zetu Nimeona Nitoe Wazo Kuwa Kila Mdau Aweke Angalau
Picha Moja Akiwa Na Familia Yake.
Karibuni.
Akizungumza jijini Mbeya wakati wa mahafali ya kidato cha nne ya Shule ya Sekondari ya St. Malcus, Mama Kikwete aliwataka wasichana kuacha tabia ya ‘kufungua mapaja’ ili kukwepa mimba...
Wakuu.
Waziri mwijage alienda nje kutafuta soko la mazao yetu vipi mbona hakurudi na jibu zuri, maana naona alienda aliporudi akakaa kimya kabisa .
Anataka tumweleweje sisi watanzania.