hawa huwa wanafanya kazi za kukaa wapweke muda mrefu mfano: Kuuza mapazia, kuuza mabegi, kuuza cover za simu n.k
hawa watu utawakuta maranyingi wamekaa dukani kusubiri wateja. mtu kama MIN -mi...
Baba Mtakatifu Leo XIV amemteua Mhashamu Wilbroad Kibozi kuwa Msimamizi wa Kitume wa Jimbo Katoliki Kondoa, kufuatia kifo cha aliyekuwa Askofu wa jimbo hilo, Mhashamu Bernardin Mfumbusa.
Kabla ya...
Hizi ni bank za taasisi za dini .
Azania ni bank ya waislamu ..
Maendeleo ni bank ya kkkt.(kanisa la kiinjili la kilutheri tanzania)
Na mkombozi ni bank ya Rc (roman katholic)
Sasa hizi bank 2...
Walidanganya watu kwa kupitia watangazaji wao maarufu, walitangaza kwamba kuna sehemu watu wanavuna Tambi,
Walielezea kwa kina kilimo cha Tambi kiasi kwamba ma milioni ya wasikilizaji wakaanza...
Ni miezi 3 au miwili sasa tangu Roho wa Mungu aniambie hili jambo. Still anasema nami kuhusu hili. Nadhani liko njiani au mlangoni kabisa this time.
Watu wengi Tanzania au duniani wanakwenda...
Suala la Wakulima wa Miwa kutolipwa stahiki zao kutoka Kampuni ya Kagera Sugar, ambapo ilielezwa kuwa walitakiwa kulipwa tangu Desemba 2025, mmoja wa wadau wa karibu wa Wakulima wa Miwa ameelezea...
Unakuta kuna video umeitafuta unaiplay mara ghafla video ya matangazo inaibuka kama jipu alafu inakuhesabia muda ili uweze ku cancel, mimi binafsi hizi video huwa sizizingatii kabisa
Mara nyingi...
Ujumbe kutoka Serikali ya Jamhuri ya Korea Kusini imetembelea miradi ya maji ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kujionea jinsi gani Serikali ya Korea inavyoweza...
Mimi ni mdau kutoka chanika Buyuni-Dar es salaam.
Sasa kuna utaratibu wa viongozi wanaohudumu ktk ofisi za serikali ya mtaa wa Taliani kata ya Buyuni kuwaomba michango(fedha) wananchi wanapoenda...
Hii hali sasa imekuwa too much.
Serikali ingilieni kati toka mwezi wa pili mwaka huu wanafunzi wa shule ya sekondari JENISTER MHAGAMA wa kidato cha kwanza na kidato cha tatu wamekuwa wakianguka...
Mzee wangu ni mkulima wa miwa Wilayani Missenyi hapa Mkoani Kagera, moja ya jambo ambalo linanifanya niandike hapa ni kwa kuwa tunapoelekea nitamuona baba yangu anaanza kuwa chizi au kuongea peke...
Sinaga maneno mengi ukinichokoza na kunifuatafuata na maneno Wala siongeagi na kujibizana Sana.
Nikiona tu unaendelea basi nanyofoa paketi ya nyembe nacet ama topaz mfukoni na kuzirusha mdomoni...
BARUA YA WAZI KWA VIONGOZI WA SERIKALI KUHUSU MALIPO YA MISHARA NA STAHIKI BAADA YA MKATABA KUMALIZIKA NA TAASISI YA BENJAMINI MKAPA
Tarehe: 17 Juni 2025
Kwa:
Waheshimiwa Viongozi wa Serikali...
Unapoomba mkopo nje unakuwa una malengo maalum ya jinsi utakavyotumia mkopo unaoomba. Kunakuwa na bajeti hususa ya miradi ya maendeleo ambayo unajua inakosa fedha kadhaa na kisha unaomba mkopo...
Abiria wa basi la kampuni ya Kidia One Express lenye namba D14 lililokuwa likisafiri kutoka Dar es Salaam kuelekea Nairobi wamekumbwa na taharuki baada ya kubainika kuwepo kwa nyoka aina ya Chatu...