Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tumesikia shirika la nyumba la taifa likijenga nyumba zenyewe gharama nafuu sehem mbalimbali za nchi lakin nyumba hiz zimekua na gharama kubwa kuliko zinavyotangazwa yan unakauta apartment ndogo...
5 Reactions
34 Replies
6K Views
Mbeya. Vijana wa kiume wametakiwa kuwa tayari kufanyiwa tohara ili kukabiliana na maambukizi ya magonjwa ya zinaa. Mkurugenzi Mtendaji wa asasi isiyokuwa ya kiserikali ya Sauti ya Mama Afrika...
0 Reactions
1 Replies
876 Views
IDADI ya wanaume wakiwemo watumishi wa umma katika Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa, ambao wameamua kuvunja ukimya, wakidai kupigwa na kutelekezwa na wenza wao, imeongozeka kwa kasi. Mkuu wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Leo hii naotea kuwa baba mwenye nyumba lazima apige mkwara kwa wasambazaji au watoaji takwimu asizozipenda.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimeumia sana baada ya kukutana na mtu ambaye alimbaka mama wa jirani yangu akiwa anakunywa bia bar na mmoja wa ndugu zake. Alifungwa gereza la kingurungundwa mbwenkulu lindi. Leo hii yupo kwetu...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Jamani naomba msaada nina ndugu yangu amenunua ngalawa ya kuvulia samaki ila tatizo ni kwamba hajui jinsi ya kuendesha hicho kifaa. sasa kuna mwenye ujuzi na hiki kifaa anijuze hili nimueleze...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Sheria ya sasa ya pensheni kwa watumishi wa umma kifungu cha 7 kinazuia kodi ya Mapato kukatwa kwa mlipwa pensheni kwa mafao yeyote atakayolipwa. Muswada wa sheria mpya kifungu cha 47(3)...
19 Reactions
200 Replies
27K Views
Mkoa wa Mwanza, umekuwa wa kwanza kitaifa kwa ku-register ukuaji wa kasi wa pato lake kwa mwaka hadi kufikia asilimia 18.9% kwa mwaka 2016 huku ikifuatiwa na Mikoa ya Mtwara - 2.70%; Lindi- 1.96%...
3 Reactions
177 Replies
69K Views
Dk. Harrison Mwakyembe December 16, 2017 amezindua mfumo mpya wa Kieletroniki wa Utambuzi wa Wanamuziki ambao utaanza kutumika nchini kwa ajili ya kulinda maslahi ya wasanii. Moja ya vitu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Amani kwenu wanajukwaa wote. Naombeni kuuliza. Kwa mtu aliyepo Moshi, anataka kwenda Runazi/Kabindi then to Biharamulo: 1. By Bus, ni route ya moja kwa moja? au ni lazima kuunga mabus? kama ni...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Habari zenu Wakuu: Nawasilisha JF Airtel wamekuwa wahuni wameshindwa kutupa huduma kwa wakati, na sasa wametoa huduma ya customer care mwenye Airtel asithibishe kupatikana huduma kwa wateja...
0 Reactions
3 Replies
899 Views
Amani kwenu. Baada ya kufuatilia mijadala mingi hapa JF.nimengundua kuwa baadhi ya vijana wanaotumia muda mwingi humu,wanaendekeza mambo ya uzushi,fitina,uongo na umbea, Kijana aliyeenda...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Habarini Wadau, Ninaomba kujuzwa kuwa sheria ya Tanzania inasemaje juu ya kuingiza baadhi ya vyakula kutoka Kenya kupitia border ya Namanga. Ni ruksa kuimport Viazi, chai, Mayai, blue band...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Juzi Jumamosi Kuamkia Jumapili niliota Ndoto ya Maono ya Ajabu sana, sana Kuna Mwanasiasa ambaye wa aina yake Alikula nyasi, lakini huyu yeye Mungu atamnyanyua Fasta Fasta! Sababu hasa ikiwa...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Shetani huwa hana raha wala furaha kamilifu, na ameshajua hatma yake kuwa ni jehanamu na hana nafasi ya kutubu tena. Sasa anachokifanya ni kujifariji kuwa sitaingia peke yangu huko jehanamu bali...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hebu sikiliza minimbo ya siku hizi, yaani hovyo kabisa. Hamna akili wa ubunifu. Hebu sikiliza wimbo huu wa mwaka 2000, hadi leo una ladha kwa sababu watunzi walitumia akili nyingi kupata wazo na...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Shalom ndugu zangu, kama unasafiri usiku kuja moshi ukifika maeneo ya lembeni uwe makini jamaa wanapanga mawe na wana Gari na pia bodaboda. Gari wanaitumia kuhakikisha unapishana nao eneo lenye...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Tangu nimepata ufahamu sioni kazi wanayoifanya hawa askari wa zimamoto zaidi ya kusababisha na kuchochea majanga pale moto unapowaka sehemu. Kama mnavyojua ajali za moto ni nadra na zikitokea...
5 Reactions
28 Replies
6K Views
Nimemsikia Afisa wa SUMATRA, Dkt Oscar, akilalamika kuwa kuna ulanguzi wa maksudi unafanywa na mawakala wa mabasi Ubungo na akawalaumu abiria kwa kutokutoa ripoti kwao! Kwangu hiki ni kichekesho...
0 Reactions
0 Replies
757 Views
Kama kuna chochote kilichotrend TZ kuanzia Jan mpaka Dec kiweke apa Tuvote Which is the best Mi naanza na the best kick of 2017 King of April King of November
0 Reactions
0 Replies
526 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…