Habari wana JF,
Japo ukubwa wa kichwa si ujazo wa maarifa na wingi wa maarifa tunatofautiana sasa nimeona nisijifanye mjanja sana kwa hili baada ya kunishinda.
Nimekuwa msomaji mzuri wa vitabu...
Leo January 4, 2018 Wajumbe wa Chama cha Wamiliki wa mabasi nchini TABOA wamelazimika kutoka katika mkutano ulioitishwa na Mamlaka ya Uthibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini-SUMATRA- na kuacha...
Habari zenu,
Kwa kweli hili shirika la umeme Tanzania TANESCO hamsomeki kabisa.
Ukatikaji wa umeme umekuwa ni mkubwa mno. Mlituaminisha kuwa tatizo litakwisha kwa sababu ya upatikanaji wa gesi...
Hali ya maisha sasa hivi imekuwa ni tofauti, makampuni yanabana matumizi hivyo nasisi lazima tubane matumizi. Hizi ni mbinu unazoweza kuzitumia kubana matumizi
1. Ukifanya maamuzi ya kuishi...
Kwa nini watu wa chadema ( ninaowajua) wanakuwa na emotional attachment na chadema? Naelewaa kushabikia Chama xyz hata mimi naikubali CCM lkn sina emotional attachment na CCM.
Yaani kwa mfano...
Ukaguzi mkali wa mabasi umefanyika leo katika stendi kuu ya mabasi mjini Moshi na kusababisha mabasi mengi kuzuiwa kusafiri baada ya kuonekana kuwa ni mangala ngala. Itabidi matajiri wa Moshi -...
-Nianze kwa kuwapa pole kwa majukumu ya kila siku.
- Najongea moja kwa moja kwenye maada. Kama tunavyotambua sote kuwa DNA ni uchunguzi wa kitaalumu(vina 7) unaonyesha mahusiano wa baba na...
Kamati ya Ulinzi na Usalama za mikoa ya Manyara na Kilimanjaro zimelifunga kwa muda wa miezi sita bwawa la Nyumba ya Mungu lililopo Mwanga mkoani Kilimanjaro kutokana na kukithiri kwa vitendo vya...
Najiwazia kwa sauti tu kama experiences zote za nyuma zikafutwa halafu upewe nafasi tena ya kuchagua baadhi ya mambo itakuaje? Mume au mke ulie nae sasa atakua chaguo lako tena? Kama ni mshabiki...
-- siku moja nikiwa kwenye gar ya mwendo kasi naenda zangu site kimara. Kwenye gar tulikuwemo watu wa kada mbalimbali, wazee, vijana, na watoto.
--saa sita mchana nikaingia kwenye gari. Safar...
Wapendwa jioni ya leo naomba tutafakari kwa pamoja umuhimu wa kusaidia ndugu zetu.Nimeona pia ni vema niwaletee mafungu machache kutoka kwenye biblia takatifu.
**4 Lakini hawatakuwako maskini...
Amani na upendo kwenu.
Kwa uzoefu wangu,barabara ya Songea Njombe ni hatarishi sana kwa madereva pamoja na abiria wanaotumia njia hiyo. Barabara hiyo ina kona kali zilizo kwenye miinuko na...
Habari za saa hizi wapendwa
Leo nataka nitoe habari bicha kama ifuatavyo
Msataafu- hallow Mh raisi hujambo
JPM- CJAMBO MKUU HABARI ZA MAPUMZIKO
Mstaafu- ebhana bwa mdogo nimesahau ugoro...
Wengi sana wakishakula sikukuu huwa wanaishiwa mpaka inafikia hatua nauli nayo inaliwa eti.
Upo na familia huko ukweni unaishiwa nauli unaanza kuomba ndugu na jamaa walioko mjn ili wakitumie...
Mwenye kujua ujenzi wa meli mpya ya kisasa umefikia wapi atujulishe na ukarabati wa MV Victoria na Serengeti umefikia wapi maana mkulu alisema December mkataba unasainiwa na ujenzi kuanza ifikapo...
Watu saba wanahofiwa kufa maji kufuatia mvua kubwa zilizonyesha jana Alhamisi mkoani Dodoma.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk Binilith Mahenge amesema watu hao wamekufa baada ya kuzama katika mashimo...