Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ujumbe huu unadaiwa kuandikwa na Profesa Anna Tibaijuka.. Ukiona watu wanahangaika na suala la mavazi hasa kukazania yale yanayoficha mwili wa mwanamke ujue wana matatizo yao wamelishwa kasumba...
56 Reactions
195 Replies
23K Views
Wajuvi tupeni elimu, kuna mida asubuhi maji yanatoka kabisa yanaenda wapi? Je huko chini ya miamba kuna chemchem?
1 Reactions
97 Replies
16K Views
kuongoza Nchi hii ni kazi kuliko unavyoweza kudhania. Je mwalimu huyu anapata wapi pesa ya kuchangia Mwenge kwa lazima?
0 Reactions
0 Replies
750 Views
NA: Aloyce Mkwizu. It is true that success is when preparation meets opportunity and the vice versa. But it is also true that success is when talent meets opportunity. Who doesn’t have a talent in...
0 Reactions
2 Replies
645 Views
Mimi ni ushauri mdogo tu kuhusu kupanga miji. Kama hili liko ndani ya uwezo wako nashauri uwabane wahusika. Kwa kweli ni aibu....maeneo yaliopangika yale yaliopimwa na wakoloni[emoji15] [emoji15]...
0 Reactions
0 Replies
629 Views
Mtambo huu unafanya kazi kwa style ya kupanga magari kama mtu anavyopanga vitabu kwenye makabati ya maktaba. Infact eneo linalotumika kupaki magari 20 sasa linaweza kutumika kupaki magari 500 na...
4 Reactions
64 Replies
11K Views
Habarini za wakati huu wana JF..,poleni saana na majukumu ya kimaisha n.k Kabla sijaendelea na hichi ninachotaka kusema kwanza ninaomba niseme kwamba maisha ya karne hii ya sasa yanatupelekea...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Habari WanaJF, Viroba vya mchanga vilivyowekwa ndani ya magunia ya korosho ili kuongeza uzito tayari kwenda kuuzwa nje ya nchi vyabainika katika ghala moja Mkoani Lindi Udanganyifu huo unadaiwa...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Si kila jambo, linafaa kuhukumiwa na akili kama ingewezekana kuweka mipaka katika akili, basi lingekuwa jambo la mwanzo katika maisha ya binaadamu lakini kila mmoja wetu ameachiwa huru katika...
1 Reactions
4 Replies
619 Views
1-----Harmorapa 2----- Dr shika 3-----Nabii Tito 4----- 5----- 6----- 7----- 8----- 9----- 10----Unahisi nani anatakiwa kuongezwa katika list hii?
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wasalaam Wana JF Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Jemedari na Mzalendo namba moja Dkt John Pombe Magufuli imeamua kutekeleza kwa vitendo ilani yake ya uchaguzi ya nwaka 2015 hususani...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Kuna mtu mmoja anajiita nabii Tito. Huyu bwana amekuwa akitoa mafundisho ya kidini kwa kutumia biblia takatifu. Ubaya wa huyu mtu unatokana na ujinga wa wakristo wa siku hizi ambao wamewaachia...
8 Reactions
48 Replies
14K Views
leo asubuhi njia zote zinazopita karibu na ikulu zimefungwa ikiwamo ile ya kupitia ocean road cancer institute, kupitia nyuma ya ikulu, pia parking zote karibu na ikulu ikiwamo chuo cha utumishi...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amezitaka wizara, taasisi za Serikali na vyombo vyote vya umma kupima maeneo yao na kuyawekea alama za mipaka kuepusha uvamizi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Siku mbili baada ya kukamatwa na polisi kwa mahojiano kwa Tito Machibya, maarufu Nabii Tito, anadaiwa kujaribu kujiua kwa kujikata na wembe tumboni na kushonwa nyuzi 25. Nabii Tito alikamatwa na...
3 Reactions
46 Replies
11K Views
Siku chache zilizopita kumekuwa na habari inayovuma sana mtandaoni kuhusu meya wa manispaa ya iringa ndugu Alex kimbe kupigiwa simu na ndugu Michael Mlowe kumshawishi ahame kutoka CHADEMA kwenda...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mchungaji Ambilikile Mwasapile maarufu Babu wa Loliondo aliyehudumia maelfu ya watu ndani na nje ya nchi kwa dawa aliyoitoa kwa kipimo cha kikombe amedai ameoteshwa kuwa umati utarudi kijijini...
3 Reactions
133 Replies
26K Views
Post Deleted By Author
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Kwa kawaida hakuna Mtu ambaye hapendi kuishi maisha marefu lakini tu watu hawajui ni namna gani ya kufanya ili wayaishi hayo maisha marefu mpaka waseme ahsante MUNGU sasa waweza kutimiza mapenzi...
4 Reactions
11 Replies
4K Views
Tanzania vijana wote tunaomba tuungane na tushilikiane kuiomba serikali yetu tukufu kufatilia kwa umakini na kwa hali ya kujiridhisha na hizi betting nchini Watu wanaibiwa sana na ni utapeli...
2 Reactions
26 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…