Waziri Jafo; Hongera kwa kupambana

Mo-TOWN

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,721
515
Mimi ni ushauri mdogo tu kuhusu kupanga miji. Kama hili liko ndani ya uwezo wako nashauri uwabane wahusika. Kwa kweli ni aibu....maeneo yaliopangika yale yaliopimwa na wakoloni ukiacha sehemu chache tu....Ni ushauri tu.
 
Back
Top Bottom