Naikumbuka vyema Sana hiyo siku, niliwasili Dodoma majira ya saa tisa alasiri na kisha mimi na dereva wangu tukapaki ktk hoteli moja maarufu sana kwa kuchoma nyama ya mbuzi.
Tulikuwa tunatoka Dar...
Ni ukweli kwamba MAXCOM ni moja kati ya kampuni zilizoleta mabadiliko makubwa nchini katika sekta ya fedha, kwa kurahisisha miamala na kuisogeza zaidi kwa jamii kupitia huduma kama vile MAX...
Habar za leo wanajukwaa,
Awali ya yote,naomba niwatake radhi wale ambao watakwazika kwa Uzi huu
Pia,naomba ieleweke kwamba;sijaleta Uzi huu wa kumpongeza Ndugu 'Ephraim Majinge' ili niweze kupata...
Wakuu wapi naweza nikabadilisha pesa za uturuki kwa Dar es salaam? Nimejaribu maduka ya kubadilisha pesa kariakoo hawabadilishi, kama kuna mtu mwenye ufahamu aniambie. Asanteni
Wandugu habarini za leo. Nahitaji kupata audio za speech za Malcolm X mpigania haki za watu Weusi. Naombeni msaada mahali napoweza kuzipata. With Respect to you all.....
Mtali
Kama Makao Makuu ya Umoja wa Afrika ( AU ) huko Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia imekuwa ikifanyiwa Upelelezi / Udukuzi na Wachina kwa miaka takriban mitano hadi ilipokuja ' Kushtukiwa /...
http://www.ippmedia.com/…/habari/mbivu-mbichi-fao-la-kujitoa
Nimekuwa nafuatilia kwa ukaribu juu ya sakata la fao la kujitoa, suala linalowahusu au kuwaathiri wafanyakazi wengi walio wanachama wa...
Wamachinga wamekuwa kero kubwa sana kwa sisi tutembeao kwa miguu hasa maeneo ya kariakoo,nnchi nzima imegeuka soko, nadhani hata watu wa mataifa mengine wanatushangaa sana,sisi tunaotembea kwa...
HATIMA YA VITABU VYA Prof. Joseph Mbele
Anaandika....
Vitabu vyangu vimeanza kuniumiza kichwa. Hapa naleta picha za baadhi, ambavyo vimo ofisini mwangu. Vingine viko nyumbani. Jumla ni kama vitabu...
Taifa la United Arab Emirates linaomboleza kifo cha Mama wa heshima katika Taifa hilo, Sheikhat Hassa Bint Muhammad Nahyan aliyefariki dunia mapema jana na kuzikwa jana hiyo hiyo mjini Abu Dhabi...
Hii idara baadhi ya wafanyakazi wake sio waaminifu.karibuni imetokezea malalamiko ambayo yapo mazizini police watu wameuziwa magari na mtu ambae sio owner wa magari hayo.jamaa alikuwa anakodi...
A 31-year-old snake enthusiast was found dead in his home after being strangled to death by a giant python he had owned since it was a baby.
An investigation into the death of the man, identified...
Nakumbuka kipindi cha ari mpya,nguvu mpya, na kasi mpya tulihimizwa sana kuhusu kilimo cha mibono sis wananchi wa mikoa ya kusini hususani maeneo ya kilwa,liwale, na lwangwa.
Nawauliza wakubwa wa...
Tamaa ni Hali ya kuhitaji kuliko pitiliza.
Wahenga walisema "Tamaa mbele mauti nyuma"
Biblia inasema Yakobo : Mlango 1
15 Halafu ile tamaa ikiisha kuchukua mimba huzaa dhambi, na ile dhambi...
Kijana mmoja alikwenda kufanya usaili kwenye taasisi fulani. Alijibu maswali vizuri kabisa. Pia wakaanza kuzungumzia faida na changamoto za mabadiliko ya kiteknolojia. Kijana akafurahi kwa kuwa...
Habari za asubuhi wana JF,
Leo nimekutana na kituko cha mwaka katika hospitali yetu ya mkoa wa Mwanza Sekoutoure. Nilienda kumjulia hali jirani yangu amelazwa. Pembeni yake kulikuwa na bibi...