Kilimo cha mibono na soko lake vimepotelea wapi

Kilimo cha mibono na soko lake vimepotelea wapi

101 East

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2015
Posts
1,057
Reaction score
2,259
Nakumbuka kipindi cha ari mpya,nguvu mpya, na kasi mpya tulihimizwa sana kuhusu kilimo cha mibono sis wananchi wa mikoa ya kusini hususani maeneo ya kilwa,liwale, na lwangwa.

Nawauliza wakubwa wa mamlaka za kilimo na masoko je hiki kilimo vp mbona kimekufa ghafla tena watu hatuimizwi kama kipindi kile yaani kila ukiwasha tv katika habari hukosi suala la kilimo cha mmea huu.

Kilimo cha mibono kimekufa?
 
Kweli mi kizazi cha uni bando, hilo jina mibono ndo kwanza naskia le
 
Back
Top Bottom