Tamaa...Tamaa...Tamaa...

Tamaa...Tamaa...Tamaa...

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,031
Reaction score
168,654
Tamaa ni Hali ya kuhitaji kuliko pitiliza.
Wahenga walisema "Tamaa mbele mauti nyuma"
Biblia inasema Yakobo : Mlango 1

15 Halafu ile tamaa ikiisha kuchukua mimba huzaa dhambi, na ile dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti

Kumbe tamaa Ina uhusiano wa karibu Na mauti.
Je wewe unatamani nini?
Je unadhani kinaweza kuua nini ulichonacho?
Tamaa ya ngono Inaweza kuua afya yako, kuua ndoa yako, kuua heshima Na Utu wako Na hata kukuua wewe mwenyewe.
Tamaa ya Mali Hali kadhalika inaweza kukusababishia kifo.
Tamaa ni kifo jihadhari
 
KWELI KABISA BUJIBUJI! TAMAA YA MAFANIKIO TU NDIYO IFAAYO
Inabidi tutumie njia halali kuyafikia mafanikio hayo.
Tamaa inaweza kukufanya uwageukie waganga, ukafanya makafara ya damu za watu.
Tamaa yaweza kukufanya uuwe ili upate Mali ya marehemu.
Tunatakiwa kuwa Na kiasi
 
Kuna tamaa nzuri na tamaaa mbaya ..sijui hapa unamaanisha tamaaa ipi ..maana mm naweza tamani kuwa na mke mwema au kua na nyumba nzuri hio nayo ni tamaaa sasa. dadavua vizuri ni tamaa ipi sio nzuri
Everything too much is harmful.
Tamaa nzuri isiyo Na madhara ni ipi?
 
Kuna tamaa nzuri na tamaaa mbaya ..sijui hapa unamaanisha tamaaa ipi ..maana mm naweza tamani kuwa na mke mwema au kua na nyumba nzuri hio nayo ni tamaaa sasa. dadavua vizuri ni tamaa ipi sio nzuri
Tamaa ya kuwa na nyumba nzuri au elimu kubwa
 
Tamaa ni Hali ya kuhitaji kuliko pitiliza.
Wahenga walisema "Tamaa mbele mauti nyuma"
Biblia inasema Yakobo : Mlango 1

15 Halafu ile tamaa ikiisha kuchukua mimba huzaa dhambi, na ile dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti

Kumbe tamaa Ina uhusiano wa karibu Na mauti.
Je wewe unatamani nini?
Je unadhani kinaweza kuua nini ulichonacho?
Tamaa ya ngono Inaweza kuua afya yako, kuua ndoa yako, kuua heshima Na Utu wako Na hata kukuua wewe mwenyewe.
Tamaa ya Mali Hali kadhalika inaweza kukusababishia kifo.
Tamaa ni kifo jihadhari
Neno Tamaa likitumika vibaya kuna watu watashindwa kutafuta maendeleo Kwa kuhisi kila akifikiriacho ni tamaa watu wawe makini na neno hili
 
Watu wako tayari kuua ili wapate madaraka
Your worst enemy could be your best friend and your best friend your worst enemy!
Only your friend know your secret!
Who the cap fit? Let them wear it!
Some will hate you pretending they love you now but behind try to eliminate you!
 
The Legend Robert nesta marley aka bob marley
 
Back
Top Bottom