katika ulimwengu wa waamini Mungu, utajifunza kuwa sifa zoote za mazuri mtu afanyayo ni KWA MUNGU.
Mungu pekee ndiye anayestahili sifa,kutukuzwa,kuabudiwa,kuenziwa.
kwa upofu wa ukweli huu...
Haki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionJay-Z ameshtutumu Trump kwa kutotatua tatizo lolote akiwa madarakani
Rais wa Marekani Donald Trump amemjibu Jay-Z baada ya mwanamuziki huyo wa muziki...
Wananchi wa Tegeta mtaa wa Chasimba wanapigwa na kuumizwa vibaya muda huu na wanajeshi wa Tanzania kisa ni baada ya mwanajeshi mmoja kufumaniwa na kupewa kichapo heavy sasa na wao ndio wanalipiza...
FIFA imefanya mabadiriko na marekebisho kadha wa kadha katika sheria, taratibu na kanuni za mpira wa miguu. Binafsi natamani wangerudisha "GOLDEN GOAL" ambalo lingefungwa tu kwenye dakika 30 za...
Habari zenu ndugu zangu. Nahitaji ushauri wenu. Nina Incubator ya 500W ninasumbuka sana na namna umeme unavyokatakata kiasi kwamba inaniharibia na kutoa hatching rate mbovu. Na nina Generator lkn...
Fstjet mbona mnatunyanyapaa wadau wa KIGOMA anzishen safari za huku mtapata watu sana si wa kigoma tu bali hata nchi jirani za BURUNDI, RWANDA hata CONGO DRC tunateseka na bei za kupaa kwa ATCL na...
Airtel wameanza maandalizi ya kuingia katika soko la hisa huku wakii value kampuni yao kwa 100 bil ambayo naona ni sawa kabisa na uhalisia.
Wale wenzangu voda waliosema vodacom ina thamani ya...
Leo hii dollar moja ya Kimarekani ni Tshs. 2249.04 wakati wiki moja iliyopita dollar moja ya Kimarekani ilikuwa Tshs. 2236. Kwa Wazazi wanaosomesha watoto wao nje ya nchi wanaumia sana kwa kushuka...
Waziri wa Maliasili na Utalii Dr Hamisi Kigwangalla, amesema kuwa nyumba za kifahari 83 zilizopo Njiro, mkoani Arusha ambazo zinamilikiwa na raia ziko hatarini kubomolewa kutokana na kujengwa eneo...
Watu Hao Ni Wa Ajabu Sana
Mafanikio yao kiujumla yanatokana na dhuluma kwa kutumia mfumo dhaifu uliokosa usimamizi bora!
Lakini pamoja na kunufaika na mfumo huo dhaifu watu hao bado tu wamezidi...
Habari zenu wana JF, nipende na mimi kutoa la moyoni kuhusu hili suala linalowahumiza walimu wa sekondari masomo ya sanaa. Kusema ukweli baada ya kutolewa lile tangazo walimu tajwa hawana raha...
Jeshi la polisi kwa kushirikiana na askari wa TANAPA wamewakamata watu watatu wakiwa na nyara za serikali na silaha tatu za kivita katika kijiji cha Kapalamsenga wilayani Tanganyika wakiwa na...
Napenda sana kuangalia documentary nyingi za wanyama hasa miasha yao na namna wanavyopambana kutafuta chakula na kuimarisha himaya zao hasa anapoingia mnyama mwingine katika hinaya zao. Pamoja na...
Huwa najiuliza tu hivi kuna jambo ambalo mtanzania halijui? maana kila jambo ukimuuliza lazima majibu anayo tofauti sana na watu wa mataifa mengine ambao si kila jambo yeye anajua maana kuna wengi...
Mwenye taarifa za simba kama hawa Tanzania tujuzane hapa ili tufike kuwaona na kuwashika kama hivi..
Na inakuwaje simba wametulia kabisa huku jamaa akifanya analotaka....
Huyu ndiye Pepo mama wa matatizo yote.
Matatizo ya magonjwa, kiuchumi, kifedha, kimahusiano Na kadhalika huratibiwa Na Pepo huyu mchafu.
Akikuingia Pepo huyu, atamkaribisha Pepo wa ngono.
Pepo wa...