Naitaji kujua

Naitaji kujua

App hio ya ukweli ipo ktk simu aina ya iphone tu
Ni yakulipia hio app
Pengine tofaut na hapo utahangaika tu mkuu[emoji1321]
 
App hio ya ukweli ipo ktk simu aina ya iphone tu
Ni yakulipia hio app
Pengine tofaut na hapo utahangaika tu mkuu[emoji1321]
Kwanini unamdanganya mwenzako?

Hizo app zote ufanyaji kazi wake unategemea ikiwa hiyo namba uliisajili kwenye mtandao wowote mfano Google+ au Facebook n.k. hivyo ikiingia namba mpya yenyewe inakua inafanya survey online kuitafuta namba ikiipata ndiyo inaleta jina ikiikosa utaambiwa mtu ni unknown.
 
App ambayo inaweza kunionyesha jina LA kweli MTU anayenitumia SMS au calls
Kama unatumia Android ingia playstore andika true caller zitakuja nyingi chagua app yoyote
Ila data inatakiwa iwe on muda wote
 
Back
Top Bottom