Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Pengine haya mambo huwa hayamfikii Inspekta Jenerali wa Jeshi la Polisi lakini kiukweli kumekuwa na chuki kubwa sana ya wananchi kwa Jeshi hilo. Siku ukibahatika kukutana na Mkuu huyo Utamweleza...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Nina ndugu wawili wamefia hospitali mpya Mlonganzila, mmoja hata hakupata nafasi ya kuhudumiwa na dakatari, mwingine kwa sababu ya uzembe. Hivi mkuu analazimisha kufungua hospitali mpya. Huku...
16 Reactions
76 Replies
10K Views
IGP siro uwa anakemea matendo ya hualifu kama wakutumia silaha au uporaji wa aina yeyote..Kuwa mtu asijiusishe nao...huku akimalizia kwa kusema mwisho wa ubaya ni ubaya. Sasa awa vibaka wamekuwa...
0 Reactions
4 Replies
912 Views
Habari zenu ndugu zangu, Kwa muda wa Majuma kadhaa nipo Dodoma Mjini na nimekuwa nikifanya uchunguzi wangu binafsi. Katika uchunguzi wangu nimegundua mambo kadha wa kadha. Hapa nitazungumzia...
12 Reactions
118 Replies
22K Views
Licha ya Rais wa Marekani, Donald Trump kutoa kauli ya kibaguzi dhidi ya nchi za Afrika, inaelezwa kuwa bado wananchi wa bara hilo wanaukubali uongozi wa rais huyo. Wakati akiingia madarakani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hellow ladies and gentlemen, Kwa Muda Mrefu nimekuwa nikiwaza kama ni mikosi ama kuna sehemu nimekosea? Maana maisha yangu yamegeuka ni ya mihangaiko kila pakuchapo, nishafanya kazi katika...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Akihijowa na DW mchana huu Jenerali Ulimwengu ameshauri Makonda ashitakiwe... ============================================== Amesema ni tukio linaloweza kufanywa na viongozi ambao wanajiona...
19 Reactions
110 Replies
19K Views
Licha ya Jeshi wito wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi kusisitiza mara kwa mara akiwataka wananchi kutojichukulia sheria mikononi, wakazi wa mtaa wa Kaseke kata ya Mkolani jijini...
0 Reactions
54 Replies
5K Views
Wasalamu wakuu, Kwanza nipende kuwapa pongezi kidogo wafanyakazi wa hii Benk kwa jinsi wanavyojituma, japo Wengi ni wamama na wazee. Ni kweli kuwa hii Benk pekee ambayo Haina vimwana Wengi na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wadau Ni wiki moja sasa tangu mh Raisi atoe kauli kuwa elimu ni bure hivyo walimu wote waliokusanya pesa kutoka kwa wazazi ajiri ya michango mbalimbali irudishwe Nikiwa Kama mzazi...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mjue ofisa anayelazimisha watumishi wake kufanya kazi hata kama ni wagonjwa,mpaka kufikia hatua ya kujifungulia ofisini. Ofisa mmoja ambaye ndiye mkuu wa kitengo cha uhamiaji hapa Airport...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Kuna ujumbe huu voda wanautuma kwenye Laini za mawakala "Ndg Wakala,unatumia Till isiyo na majina yako, tunakuomba uondoe pesa zote zilizomo kabla haijafungwa 25/1/2018 kuepuka usumbufu tafadhali...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwaka huu 2018 ni mwaka ambao moja ya malengo ambayo kila mtu anapaswa kuwa nayo ni malengo ya kibiashara. Kama bado hujawa na biashara basi unapaswa kuanza biashara yako mwaka huu. Na kama tayari...
12 Reactions
21 Replies
90K Views
Msaada wana jamvi, Ninataka kununua kabati la vyombo, sasa nimeenda kwa fundi nikakuta kabati kama yale ya kichina lakini siyo ya kichina, fundi akasema ni makabati yaliyotengenezwa kwa mbao...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Japo sipendi watanzania wakose kazi ila nachukia kampuni zinazokula hela za serikali kizembe zembe tu... mwalimu anatibiwa nhif huku mfanyakazi bot anatibiwa na AAR agakhan au best hospitals...
8 Reactions
75 Replies
11K Views
Kajala anawauliza wako wapi, Wanafanya kazi gani, Wana umri gani n.k Aise mimi ukinipigia simu, sina namba yako ujitambulishe kwanza.
16 Reactions
138 Replies
20K Views
Nimegundua jamii forum ukiwagusa waarabu au wayahudi mjadala unakuwa mkali sana.. Mbaya zaidi matusi,kejeli na kashfa kibao juu ya imani za watu... Wadau tambueni hizo jamii ni binadamu km wengine...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Wanabodi naomba tujuzane hivi MZANZIBARI ni kabila gani na linaishi sehemu gani katika mikoa yote ya Tanzania? Hii lugha ya kizanibari salam ya asubuhi wanasalimiana vipi kizanzibari Wasukuma...
1 Reactions
33 Replies
10K Views
Taasisi ya mikopo ya Pride Tanzania ipo taabani kifedha ikidaiwa kushindwa kujiendesha. Licha ya hilo, taasisi hiyo inadaiwa kuwa imeshindwa kutoa mikopo kwa wateja wake na kulipa stahili za...
1 Reactions
57 Replies
11K Views
Niko hapa nnakula ndizi za kuiva, kuna swali limeniijia: ndizi inapokuwa mbichi haina sukari hata kidogo, ila ndizi hiyo hiyo iivapo ina sukari balaa, je huitoa wapi hiyo sukari?
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…