Japo sipendi watanzania wakose kazi ila nachukia kampuni zinazokula hela za serikali kizembe zembe tu... mwalimu anatibiwa nhif huku mfanyakazi bot anatibiwa na AAR agakhan au best hospitals around the world.
hapa ndipo napomkubali magufuli...
hawa jamaa wamepiga sana hela za mashirika ya uma... wameguswa kidogo wanakimbilia kupunguza wafanyakazi.
hapa ndipo napomkubali magufuli...
hawa jamaa wamepiga sana hela za mashirika ya uma... wameguswa kidogo wanakimbilia kupunguza wafanyakazi.