Plastic bags are containers made up high density polyethylene. Most of us we are familiar with these bags because we use them to carry goods purchased in the shops.
In Tanzania plastic bags are...
Chanzo BBCSwahili.
Wawili hao watazawadiwa $5,000 kila mmoja katika sherehe ambayo itafanyika jijini Nairobi mwezi ujao.
Dotto Rangimoto alishinda kwenye kitengo cha ushairi kwa mswada wake...
1: Polisi kukamata wenye UKIMWI – Ugiriki
Nchini Ugiriki Polisi wanaruhusiwa kumkamata Mtu yeyote anayeshukiwa kuwa na HIV… Polisi pia wanaruhusiwa kulazimisha watu kupima HIV, kutangaza majina...
Unaspend milioni 5-30 mkwenye harusi.
Unaspend tena million kadhaa kwenye pete ya ndoa
Alafu mpaka sasa mwaka 2018 ndoa kwisha, mmeachana.
Harusi ilikaa usiku mmoja. Pete ya harusi sasa haina...
Hii n kama hatari au janga.
Ona hapa:-
1. NHIF 5 %
2. PSPF 10%
3. Bodi ya mikopo 15%
4. Kodi 9%
Jumla kuu = 39 %
Hiyo ni nje ya wale waliokopa benki.
Mfano: Mtumishi wa serikali mwenye...
Wana jf eti kuna mtu Mwafrika alimuona huyu mjusi akashangaa sana, hivi ni sehem zipi hapa nchini kwetu mtu ataishi na asiyaone haya mijusi, wadudu, nzi, mbu na yeye aende akashangae wadudu huko...
Idara ya uhamiaji na waziri husika mtuonee huruma hasa sisi madereva wa maroli ya kwenda nje ya nchi,tumekimbia makambako tukaona nafuu iko hapa kupata hz paspoti za mda lkn sasa nanyi...
Zanzibar. Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imewafukuza kazi walimu 28 baada ya kugundulika kufanya ubadhirifu wa zaidi ya Sh100.4 milioni.
Akizungumza na waandishi wa habari Ikulu Mjini Zanzibar...
Kwa taarifa yako kama ulikuwa hujui basi fahamu ya kwamba siku hizi kuna aina mpya ya ' Ubatizaji ' wa majina kwa wale Watanzania ambao wanaonekana au wanajulikana Kuipinga Serikali na wale ambao...
Kuna tabia ambayo sana sana hufanywa na kina dada ya kuazima watoto wadogo na kuwatumia Kwa ajili ya kuomba misaada. Mara nyingi hujifanya wamezalishwa na wametelekezwa.
Wiki hii kuna mama...
Naomba kuhabarishwa kwa wenye uelewa juu ya masuala ya kiimani
iwapo utaota unapigana na wachawi kisha ukafanikiwa kuwapiga na kukimbia ,halafu unasituka toka ndotoni.
Hii ina maana gani???
Moshi: Chama cha Ushirika cha Kilimanjaro (KNCU) kimetangaza kuuza shamba lake ili kuinusuru Benki ya Ushirika ya Kilimanjaro (KCBL) baada ya Benki Kuu (BoT) kuitaka itimize sharti la kisheria la...
Baada ya serikali chini ya wizara ya Mazingira kupiga marufuku uuzwaji na utengenezaji wa pombe Zenye vifungashio vya plastic (Viroba)
Sasa kanda ya ziwa Mwanza wamekuja na kinywaji kinaitwa...
Wan Jf Salaam.
Mimi nina mpango wa Kwenda nchini New Zealand ndani ya mwaka huu ila tatizo langu ni jinsi ya kupata VISA ya kuingia huko ukizingatia kuwa katika nchi hizi za East africa hatuna...
Jeshi la polisi mkoani Tabora linamsaka kwa udi na uvumba mwanaume mmoja aliyetajwa kwa jina la Michael Mabula,aliyetoroka baada ya kupiga kwa mchi wa kutwangia mtoto aliyekuwa amebebwa na mama...
Morogoro. Mgogoro wa kugombea mradi wa maji kati ya wananchi wa kijiji cha Fulwe na Bamba wilayani Morogoro umeingia katika sura mpya baada ya baadhi ya wananchi wa Bamba kuingia kwenye chanzo cha...
Mtoto mdogo amekamatwa na polisi akiwa chini ya basi la Sante Rabi lililokuwa linatoka Mwanza kwenda Arusha lilipofika kituo cha mkoa wa Shinyanga.
Askari wa ukaguzi wa magari kama kawaida yao...
Niliamua kuhama kutoka kingamuzi flani hivi ambacho pakiwepo mawingu kinaanza ku scratch na mnvua ikinyesha maji huenda yakaingia kwenye lmb (kile kidude kidogo juu ya dish) kinakataa kufana kazi...