Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu naombeni kwa aliyewahi kwenda huko anipe maelezo ya ziada ni mambo gani ya kutahadhari, sifa na miji na ukarimu wa watu wake na asisahau kunieleza kuhusu hali ya amani ya nchi hiyo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wadau! Leo nimetulia home, ghafla nikapewa taarifa kuna wadudu wadogo weupe wanaotambaa wanatoka kwenye sinki la choo, hii hali imeanza kama wiki hivi, naombeni mawazo hawa wadudu...
0 Reactions
35 Replies
16K Views
MWISHONI mwa mwaka jana, Rais John Magufuli alizindua Hospitali ya Taaluma na Sayansi ya Tiba (MAMC) maarufu kama Kampasi ya Mloganzila, hatua iliyoashiria kuanza rasmi kutumika kwa hospitali...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwanamume mmoja katika jimbo la Machakos nchini Kenya ameshtakiwa na kosa la kufanya tendo la ngono na mbuzi wawili. Inadaiwa kuwa mwanamme huyo aliwaua mbuzi hao wawili baada ya tendo hilo...
0 Reactions
2 Replies
942 Views
Nimeshuhudia baadhi ya vituo vya Polisi Mkoani Geita nilipokuwa huko hivi karibuni na kushangaa sana jinsi wanavyo hudumia wateja wao (sizungumzii wahalifu) katika hali ya vitisho,unyanyasaji na...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Baadhi ya wananchi ambao wamejiunga na bima ya afya katika halmashauri ya Busokelo wilayani Rungwe wamelalamikia wauguzi kwenye vituo vya afya vya halmashauri hiyo kuwabagua wagojwa wanaokwenda...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wahenga mnayakumbuka haya mabasi wakati wa ujana wetu?......hahahaa kama namuona mh Sugu kwa upande mmoja na laigwanan kwa upande mwingine. Kiukweli old is gold!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baada ya kuzidiwa na mwenzake katika Ugombeaji wa ' almasi ' kubwa ya Mtaa wa Kariakoo sasa Tajiri wa Mbagala inasemekana ameingia katika ' bifu ' kali na zito la Kibiashara na Tajiri mwenzake...
10 Reactions
51 Replies
9K Views
Mimi ni wakala wa Maxmalipo na Selcom. Kusema kweli huduma za Maxmalipo zimekuwa ni hafifu na dhaifu sana ukilinganisha na Selcom. Mfano unapo nunua umeme kwa njia ya Selcom hadi raha. Ukiandika...
4 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu, Nikimbie moja kwa moja kwa tatizo langu. Kama nilivyotanguliza kwenye kichwa cha habari kuwa niahitaji msaada wa kiimani nadhani nitaeleweka vizuri na wale ambao tunatofautiana...
0 Reactions
42 Replies
3K Views
Mpaka sasa hivi yeye Tundu Lisu ndiye anayeongea na wala sijasikia official statement yoyote ktk chadema kwamba wako naye na yale alioyaongea ndiyo msimamo wa chadema! Hivyo nionavyo mimi chadema...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Viongozi wa Daruso waingia tofauti za kisiasa ...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mpaka lini Watazamaji wa Clouds tv tutakuwa kila siku tunaangalia tu Vipindi vikiwa vinaendeshwa au vinarushwa katika Ofisi za ' Bosi ' wao Mkuu na Mmiliki Joseph Kusaga? Inafika muda unawaona...
7 Reactions
33 Replies
4K Views
Gari moja lililokuwa linaendeshwa kwa kasi katika jimbo la Califonia hapo jana liliruka na kuingia ndani ya ghorofa ya juu kwenye jumba moja baada ya kugonga uzio wa kutenganisha barabara. Sehemu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Gari moja lililokuwa linaendeshwa kwa kasi katika jimbo la California hapo jana liliruka na kuingia ndani ya ghorofa ya juu kwenye jumba moja baada ya kugonga uzio wa kutenganisha barabara...
0 Reactions
2 Replies
963 Views
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu, Huku kwetu imekuwa ni lazima hata mtumishi wa serikali kutoa mchango wa kijiji wakati mimi ninavyofahamu mimi nakatwa kodi katika mshahara wangu...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Marekani mahindi hutumika kama chakula cha mifugo kwa 80% na 20% for fuel (ethanol) and for export. Inasemekana utumiaji mkubwa wa nafaka za mahindi hupelekea akili kuwa pumbafu (kulala) hivyo...
8 Reactions
92 Replies
31K Views
Sio kwa sababu wewe ni kijana una nguvu na afya njema haina maana kwamba kifo hakipo kwa ajili yako kifo hakina kikwaza cha umri daima unapaswa kuwa tayari na kifo Mwenyezi mungu (Allah )...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Gazeti la Nipashe Jumapili baada ya kuambiwa wajieleze kwa ile habari ambayo haikuwapendeza wakubwa wameamua kwenda mbele zaidi na kujifungia wenyewe kutotoa nakala. Kwa habari nilizosoma soma...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa hakika si rahisi kiongozi wa Chama cha upinzani nchini, ACT-Wazalendo Zitto Kabwe kuwa kimya kiasi hiki kwenye mambo mbalimbali yanayohusu nchi ya Tanzania na siasa zake. Amekuwa kimya toka...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…