Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Petroli yazidi kupanda bei, kupanda huku kunatokana na mabadiliko ya bei katika soko la Dunia.
0 Reactions
24 Replies
8K Views
Mahitaji ya punda yameongezeka marudufu katika soko la China ikizingatiwa kuwa nyama yake hutumiwa kama kitoweo na ngozi yake hutumika kutengeneza dawa ya asili ijulikanao kama ‘ejiao’ambayo...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Mbunge wa Njombe Mjini, amewataka wajasiriamali wadogo mkoani Njombe kuwekeza kwenye viwanda vidogo vidogo na kuanza kusafirisha viazi ambavyo tayari vimecharagwa chips ili kuepuka kulaliwa na...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Licha ya idadi ya wateja waliounganishwa kwenye mitandao ya majitaka katika miji mikuu kuongezeka, ni asilimia 20 tu ya wananchi katika miji hiyo wanafikiwa na huduma hiyo nchini na kuwaweka...
0 Reactions
1 Replies
697 Views
Abubakari Hamisi (40), dereva wa basi na mkazi wa Ujiji ambaye anatuhumiwa kwa kugonga Hiace na kusababisha vifo vya watu 7 na majeruhi 11, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimekuja kujifunza kitu hapa Duniani kwamba ,,timing is everything” na maisha yetu yote yamezunguka hapo. Kwa mfano mtoto akizaliwa kuna muda ambao ni lazima ajifunze lugha na akipita huo muda...
0 Reactions
5 Replies
783 Views
Sheria ya kazi ikibana kuwa kila mfanyakazi wa nyumbani ni lazima alipwe 350000. Waandikishwe kwenye mfuko wa pensheni, wawe na BIMA ya afya. Pamoja na hayo wapate siku mbili za mapumziko...
8 Reactions
62 Replies
6K Views
Luka Mlango 2 1 Siku zile amri ilitoka kwa Kaisari Augusto ya kwamba iandikwe orodha ya majina ya watu wote wa ulimwengu. 2 Orodha hii ndiyo ya kwanza iliyoandikwa hapo Kirenio alipokuwa liwali...
6 Reactions
37 Replies
5K Views
Utafiti wa Shirika la Afya Duniani (WHO) umebaini kuwa uchezaji wa michezo ya video (video games) kwa muda mrefu, unachangia magonjwa ya akili. WHO imeongeza ugonjwa huo wa kujilevya na michezo ya...
0 Reactions
2 Replies
742 Views
MAPACHA walioungana, Maria na Consolata wanatarajia kuhamishiwa jijini Dar es Salaam kwa ajili ya matibabu zaidi katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Muhimbili Hospital. Akizungumzia...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Katika kero mpya inayoendelea kwa sasa Arusha basi ni uwepo mkubwa wa trafiki barabarani. Kwenye hii barabara ya Arusha to Moshi. Kila baada ya mita 300 unakutana na kundi la Trafiki, mbaya zaidi...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Mtu mmoja anayesadikiwa ni jambazi ameuawa kwa risasi usiku wa kuamkia leo wakati akijiandaa kuwashambulia askari waliokuwa wakifanya msako wa kukamata wahalifu mjini Shinyanga na wengine 4...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Mie wa kwanza ni waziri wa Elimu , aongeze masomo ya biashara ,kilimo na computer pia aongeze masomo watoto wa secondary wawe na varieties,mfano masomo kama accounting,electonics,environmental...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Katika ulimwengu wa kiroho kuna laana na baraka ambapo vyote baadae huonekana/hudhihirika ktk ulimwengu wa kimwili/machoni. Laana inaweza kutoka kwa MUNGU pamoja na baraka pia (biblia:torati 28)...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanakuja na sababu nyiiingi mara sijui kilimo kwanza, utasikia hatuihitaji, wengi wao nimekuja kugundua hawaishi TZ, wanaishi nchi za watu huko na huko waliko wanatumia kila siku treni za umeme na...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Kamanda wa Kanda Maalum Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa, alisema kutokana na hali hiyo, polisi walilazimika kufyatua risasi hewani ili kuwatisha lakini bado waliendelea kutotii amri ndipo wakapiga...
0 Reactions
1 Replies
914 Views
Baada ya Bombadia yetu kutiwa nguvuni nchini Canada na serikali kudai itawasili siku si nyingi ile mwaka Jana 2017 Cha ajabu mwaka ushaisha hakuna cha ndege wala pangaboi wala bombadia...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Facebook inafuta account za watu kutokana na amri ya USA na Israel,Account nyingi za wapelestina na watu wengine wakiwemo watu weusi (Wafrika) zinafutwa kutokana na matakwa ya Wamerekani na...
0 Reactions
3 Replies
890 Views
Aidha aendelee 2025-30/35 au apewe absolute power ya kuamua mrithi wake, kinyume na hapo hamniambii kitu, ...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…