Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wakuu,.. Mwaka unaelekea ukingoni huku Kila mmoja akiwa na mengi ya kukumbuka kuhusu mwaka huu 2017. Kuna matukio mengi Sana yametokea na kuacha historia katika uso wa dunia. kwa upande...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Hii imenitokea Mara kadhaa pale ninapoweka salio , huwa napenda kununua salio kupitia Mpesa au Tigo pesa , lakini ukinunua salio bila kujiunga kifurushi unakuta tayr wamekata pesa kidogo kuanzia...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Msaada wana jf nahitaji kumtumia e mail mh. Rais mwenye nayo anisaidie maana nimechoka na haya mambo yanayofanywa na watu wachache ambao hawajali watu wengine tafadhari mnisaidie
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kardinali Polycarp Pengo, Askofu mkuu wa Jimbo kuu la Dar es Salaam, Tanzania kama sehemu ya utamaduni wake, Alhamisi tarehe 28 Desemba 2017 ameadhimisha Ibada ya Misa Takatifu kwenye Kanisa la...
5 Reactions
67 Replies
8K Views
Kanisa moja huko nchini Africa ya kusini fundi mitambo kachanganya flash kwenye mkesha wa Christmas na kuweka flash ya x
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Baada ya kuyasikiliza matamshi ya Askofu Kakobe kwa muda mrefu nimejariub kuangalia kama kweli ni msukumo wa kitumishi au kuna kitu kingine kinachoweza kumsibu. Wengi tumefanya kazi za Mungu na...
2 Reactions
46 Replies
5K Views
Habari wadau wa JF Kuna swala nimeona nilisogeze kidogo hapa,Jana (Ijumaa 29 Dec, 2017) Waziri wa fedha na mipango DR. Fillip Mpango alitoa taarifa kwa vyombo vya habari juu ya mwenendo wa hali...
0 Reactions
1 Replies
888 Views
Kutokana na kauli ya Waziri wa fedha bwana mpango kwamba Watanzania wanaona vyuma vimekaza kwa sababu wanajihusisha na sekta ambayo ukuaji wake ni kidogo kidogo yaani sekta ambayo ukuaji wake...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
miaka mingi sasa imepita toka 2011 nilianza kuperuzi na kusoma mada za jamiiforums lkn sasa nimeona nijiunge rasmi naona kunakamtindo ka kuwakaribisha watoto wa kike kwa shangwe mlume ndago hapa...
0 Reactions
0 Replies
681 Views
Mambo vp wadau hivi mtandao wa airtel una kifurushi cha sms? tu kama ilivyo kwenye voda yaan sh. 1500 sms bila kikomo mwezi mzima. na kama ipo kwa airtel naomba kujua namna ya kununua
0 Reactions
3 Replies
891 Views
. Asalam waleykum, bwana yesu asifiwe na tumsifu yesu Kristo ndugu zangu leo nimeona nianze kwa kuwasalimu mkiwa mnajiandaa kuagana na mwaka 2017 na mkiwa tayari kuupokea mwaka 2018 leo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nape ameamua kuwasha moto wa kufungia mwaka 2017 baada ya kuandika katika ukurasa wake wa Instagram kuwa nguvu haiwezi kuwa chanzo cha amani popote Duniani ujumbe uliombatana na picha ya kunyongwa...
7 Reactions
32 Replies
4K Views
Kampuni hiyo imesema gharama zake zilizonukuliwa kutoka TCRA zimejumuisha kodi ya ongezeko la thamani (Vat) ambayo kwa kampuni nyingine washindani hazijawekwa. Dar es Salaam. Baada ya taarifa ya...
1 Reactions
43 Replies
7K Views
HAKUNA HUDUMA--- Mkazi wa Kigoma Ujiji akipita katika sehemu ya vibanda vipatavyo 1,000 vilivyofungwa juzi na halmashauri ya manispaa baada ya wafanyabiasha kushindwa kulipa tozo mpya ya Sh50,000...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
1) Mapato na Matumizi ya kila mwezi ya serikali kupitia TRA. 2) Kuoneshwa salary slip ya Raisi Mawee.
0 Reactions
3 Replies
681 Views
Habar za jioni wana jf wenzangu Natumaini ni wazima wa afya njema Nilikuwa na mpenzi Wang ila tuliachana kama miaka mitatu iliyopita baada ya yeye kuamua kuolewa na bwana mwingine Baada ya...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Sijawahi ingia vyoo vya kike baa Hivi huwa vipo vipi? Wamewekewa vya juu waweze kuchuchumaa au vikoje?
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Mnazi mmoja sio Salama kwa mkesha wa mwaka mpya, Nendeni Uwanja wa Uhuru" Mchana huu Kamati ya maandalizi ya wanajiita Crossover Night & Anointing Service ya KINAIJERIA, waliokuwa wametangaza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…