Nimesoma kila mahali na kuona kuna watu wanatamani sana upinzani ufe. Hapana hawa watakuwa hawajui dhana ya upinzani.
Upinzani siyo kikundi cha watu ambacho unaweza kukisambalatisha kwa mabomu...
Habari zenu wakubwa kwa wadogo, bila kupoteza muda wala manjonjo naenda kwenye mada.
Kipindi fulani miaka ya nyuma nilikua nikisikia sana kwamba kuna namna ambayo mtu anaweza kupata nishati ya...
Wakala wa kudhibiti ubora wa mbegu nchini, TOSCI umeyafunga maduka zaidi ya 20 katika mikoa ya Mbeya na Songwe baada ya kubaini kuwa maduka hayo hayajasajiliwa wala kufuata taratibu za kisheria za...
Mwanza. Naibu Waziri wa Uvuvi, Abdalla Ulega, leo Ijumaa amefanya ziara ya kushtukiza katika soko la kimataifa la samaki la Kirumba jijini Mwanza na kukamata tani 11 za samaki waliokuwa...
Zaidi ya ya dola za Marekani Milioni 300 zinatarajiwa kutumika katika ujenzi wa kilomita 210 za barabara kwa kiwango cha lami katika Manispaa za jiji la Dar es Salam lengo ikiwa ni kuboresha...
Hi wadau,
Eti ukiwa unaishi na kufanya kazi za serikali au binafsi nyumbani kwenu hutafanikiwa kamwe ni kweli? Watu wengi wana mtazamo huo je wengi wape au kuna mwenye hoja tofauti na hilo...
Mheshimiwa Rais, Waziri wa Fedha na Gavana wa BOT, wakati Rais anafungua tawi la bank ya CRDB makao makuu ya nchi Dodoma alisema ni marufuku kufanya malipo kwa hela ya Dola hapa nchini, lakini...
Tanzania inaongeza maradufu idadi ya panya buku wanaotumika kuutambua ugonjwa wa kifua kikuua.
Panya hao hupewa mafunzo na wana uwezo wa kunusa kamasi za binaadamu na kutambua kwa haraka ugonjwa...
Kamanda wa Polisi Kikosi cha TAZARA Kamishna Msaidizi mwandamizi wa Polisi Patrick Byatao akikagua gwaride wakati wa hafla fupi ya kuwatunuku askari waliofanya vizuri kwa mwaka 2017 katika kikosi...
Wakati tunasheherekea U-Dart, wenzetu Ulaya na Marekani wanazidi kupiga maendeleo na kusaidia kupunguza moshi usiendelee kuharibu Ozone layer...
Haya ni mabasi yanajiendesha kwa watu kupiga...
Miaka hiyo sisi tuliozaliwa mjini tulikuwa tunapata shida sana na watu wa mkoani. Wakifika Dar Kuna maeneo Matatu itabidi uwapeleke.
1. Uwapeleke soko la Kariakoo
2. Uwapeleke Ferry wakashangae...
siko hapa kwa ajili ya kumchafua mtu au lah na wala siko hapa kwa ajili ya chuki binafsi ila niko hapa tu kutoa ya moyoni kwani baadhi ya watanzania kisa kilichonitokea wiki iliyopita nilikwenda...
Watu tisa wamefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Morogoro wakikabiliwa na shitaka la kumkata mkono albino, Nassoro Mohamed kisha kutoweka na mkono huo.
Morogoro. Watu tisa...
Habari ndugu;
Kumekuwa na wimbi kubwa sana la wabunge wengi wa upinzani toka Ukawa na pengine ambao wanahamia chama cha Mapinduzi CCM. Wengi wamekuwa na mawazo mengi juu ya hali hii na kuhusisha...
Dar es Salaam. Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es Salaam imemtaka aliyekuwa ofisa ardhi kanisa hilo Kanda ya Kinondoni, Askofu Oscar Mnung'a kurudisha fedha takriban Sh 8 milioni anazodaiwa...
Ninini sababu iliyo nyuma ya pazia kwa wabunge, madiwani na pia wanasiasa waliokuwa maarufu (wakapoteza umaarufu huo) kuhama CHADEMA na kuhamia CCM?
Pamoja na taarifa kuwa wengi wanahongwa kwa...
Kwakweli jiji lilikuwa limefikia pabaya sana, kila kona mateja, vituo vya mabasi ndo usiseme, ila baada ya vita ya jemedari Makonda.
Sasa jiji limeanza kuwa safi na salama kwa upande huo, pole...
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amesema tangu alipotangaza kuanza kukamatwa kwa mashoga, amebaini kuna mkakati unawaohusisha watu hao zaidi ya 150 kutaka kumwangamiza.
Kauli hiyo...