Habarini wakuu kama tthred inavosema, mwenye kukifahamu kiwanda cha nywele cha ANGELS kilipo au mwenye details na hiko kiwanda ani pm
Natangulia shukrani
Hi great thinkers.
Leo mchana nimejikuta namtamkia fundi uashi nanukuu "hivi wewe una laana?" akanijibu mbovu nikampa vitasa kadhaa mdomoni. Hivi sasa kavimba mdomo eti kaenda kunishitaki...
Kama tittle inavoelezea, naomba anaeijua vizuri south africa kuhusu upatikanaji wa kazi, mishahara yao kwa kazi tofauti tofauti kulingana na kazi, vipi upoje life security yake, kipi...
Yaani hapa natazama channel ya wanyama, wanaonyesha documentary ya story ya taasisi zinazojihusisha na kuwatunza na kuwaangalia wanyama ambao wapo hatarini kutoweka, kama faru, tembo, na wengineo...
Habari wanajamvi,
Ni zaidi ya mwaka mmoja sasa tangu Serikali ifute tozo za ushuru katika usafirishaji wa mazao ya chakula kutoka Wilaya moja hadi nyingine.
Waziri wa fedha Philip Mpango wakati...
Kesi za udhalilishaji wanawake na watoto katika mkoa wa Mjini Magharibi Unguja zimepungua kuanzia Januari hadi Septemba 2017 ukilinganisha na mwaka jana.
Kesi hizo zilizokuwa zimeshika kasi...
Yaaaniii n gari kadhaa zinasimamishwa na traffic
Baadae unaonaa wanaingia kwenye gari wanatoka gari linaendelea na safari
Jamboo hil linafanyika bila hofu kabisa tuwe bas na hofu ya Mungu...
Leo kimchezomchezo tu nimejishindia laki 1 baada ya mabishano baina yangu na jamaa zangu.. Kama mjuavyo nchini Kenya Uhuru Kenyatta akiwa anaapishwa ilitegemewa rais Magufuli kuwapo katika hafla...
Wapendwa,
Nimekuwa nikikutana na kanisa hili katika huduma zangu za kiroho na muda mwingi sikulipeleleza sana.
Ila hapo jana nilikutana na muumini wa kanisa hili,japo hakujieleza vizuri na...
Dar es Salaam. Walimu 12 na mkurugenzi wa Shule ya Msingi Mount Pleasant iliyopo Tabata jijini Dar es Salaam, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka matano...
IGP Simon Sirro amesema silaha zote zilizoporwa na wahalifu katika maeneo mbalimbali ikiwemo katika vituo vya polisi zimepatikana na mtandao wa mauaji ya watu yaliyokuwa yakifanyika Mkuranga...
Habari wakubwa zangu,Natanguliza heshma kubwa mbele yenu.Poleni na mihngaiko ya siku.
Wakuu kuna uhusiano gani kati ya mzazi na mtoto?? Mana leo mchana nilikua katika duka moja hapa chuoni...
Hope
mko poa wana jf leo nimeona niwaletee kitu hiki najua wengi mnajua hata Kama hujua utajua leo natumai ulishawahi kusikia kitu kinaitwa marijuana mmea ambao umewekwa kundi moja na madawa...
Kwa kweli ni masikitiko makubwa sana kuona umeme ukikosekana tangu asubuhi mpaka jioni. Jana hapa Mwanza kwenye baadhi ya maeneo umeme ulikatwa tangu asubuhi mpaka saa kumi na mbili jioni. Leo...
Wapendwa nawasalimu katika Jina la Yesu.Usiku huu nawaletea fungu kutoka Biblia takatifu ili tuweze tafakari kwa pamoja.
"Kwa kuwa katika Adam wote wanakufa, Kadhalika na katika Kristo wote...
Mods naomba huu uzi ubakie hapa na sio Jukwaa la Biashara. Kuna aina ya pombe kali inapendwa sana na watumiaji hapa nchi, nimekuwa natumiwa kama zawadi ila kila ninayemuonjesha anaipenda kiasi...
Binadamu sisi ni kweli wa mavumbini.Tunasahau mambo haraka sana.Mfano hata vifo vya ndugu au watu mashuhuri tunasahau haraka.Hatuchukuagi hata wiki.
Unakuta mtu kafiwa na mzazi mwenzie lakini...