Vingunguti Darajani karibia na Machinjio kuna Kampuni ya Vijana wa matolori wanatupa uchafu waliokusanya mitaani pembezoni mwa Mto Msimbazi hali inayofanya mazingira yanachafuliwa
Hao wengine...
Maeneo ya Posta – Dar es Salaam chemba nyingi hazina mifuniko, juzi nimeshuhudia Bodaboda kaingia kwenye chemba wote na abiria waliumia.
Tukio lingine imekuwa zamu yangu, nimepigisha kichwa...
Uwanja huu ni uwanja bora sana hauna hata miaka 6 lakini tayari haufanyiwi marekebisho ,napenda wajuzwe huu ni 5 star level airport hatutarajii rangi ya jengo izidi 3 years isibadilishwe ,vyoo...
Barabara ya Vikindu via Vianzi mbovu kipindi hiki cha mvua tunapata tabu sana wakazi wa Vianzi, nauli zinazidi kupanda. Hii Vikindu ipo Wilaya ya Mkuranga, Mkoa wa Pwani.
KUELEKEA UZINDUZI WA KAMPENI ZA CCM JIMBO LA ISMANI TAR 11/5/2026
Umoja wa Vijana chama cha Mapinduzi wilaya ya Iringa Vijijini (UVCCM) utakutana kwa ajili ya Jogging na vijana ndani ya tarafa ya...
Habari,
Mimi ni mkazi wa Sinza Madukani kuna mradi wa majitaka unaendelea tokea mwanzoni mwaka 2025 ..Lakini huu mm Mradi umekua kero na Usumbufu kwa wakazi wa Sinza Madukani pamoja na eneo ya...
Pamoja na uana Chadema wangu na kupenda haki kwangu ila haya mauaji ya Kijana mdogo mwanafunzi wa IFM Bado nagoma kwenye akili yangu kuyahusisha na serikali au Kisiasa
Kijana James Temba hakuwa...
Mhadhiri Msaidizi wa chuo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (COICT), Merina Lumbalo, anasema kisheria nywila ni ya mtu mmoja na haishauriwi kushirikishwa, hata kwa mtu wa karibu. Ameeleza...
Supermarket nyingi nchi za wenzetu hupunguza bei ya bia na bidhaa nyingine zikikaribia tarehe ya “best before” ili zisitupwe na kupunguza waste.
Mfano mimi nilienda supermarket nikakuta bia...
Sisi wakazi wa Mbeya kata ya Forest ya zamani tuna siku ya4 maji yamekatika na hakuna taarifa yeyote ile kutoka mamlaka husika tulikua tunaomba mamlaka ishughulikie mapema Suala hili.
Mkuu wa Wilaya ya Geita Mh. Hashim Abdallah Komba(kulia) akikabidhiwa moja ya vifaa vya hospitali vilivyotolewa na Afisa Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Exim Tanzania Bw. Stanley Kafu...
Maria Sarungi ameandika jinsi ubongo wa Samia unavyotafsiri maneno.
Hii ndio kamusi ya Samia
In Samia Suluhu's authoritarian dictionary
Criticism of her = wananitukana
Protests/ Maandamano =...
Mimi ni mfanyakazi, nipo Utawala Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya Kibaha Vijijini (KDC) baada ya kukosa mshahara tangu Februari 2026, nilipofuatilia naambiwa tatizo lipo HAZINA.
Nilipoenda...
Habari Jamiiforums, nipo hapa kuwakilisha Wananchi wenzangu tuliokumbana na Mradi wa Mwendokasi… Mahali ni Mlalakuwa, Kata ya Makongo, Mtaa wa CCM.
Tumeshafanyiwa valuation ishapita miaka mitatu...
Uongozi naouzungumzia hapa ni ule wa ngazi ya taifa katika kuwapeleka watu kwenye makusudio yao ama malengo yao. kiuchumi,kijamii,afya na nyanja zote za maendeleo.
Binafsi nimekuwa nikiona kuwepo...
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) na Kampuni ya Barrick Gold Corporation zimeanza majadiliano ya kuimarisha ushirikiano wa kimkakati utakaolenga kukuza maendeleo ya sekta ya madini kupitia mafunzo kwa...