Mmeona tangazo la leo la NECTA? Maswali ya mtihani wa darasa la 7 yameshushwa kutoka 50 hadi 45 kwa somo na kati yake 40 ni "Multiple choice"..... kwa hiyo almost mtihani mzima ni mwendo wa kuinua...
*FURSA FURSA FURSA*
*HII NI FURSA KWA AJILI YAKO WEWE MJASILIAMALI UNAYEPENDA MABADILIKO YA KIUCHUMI*
*TIMU YETU KWA SASA KWA KUTAMBUA MAHITAJI YA UPUNGUFU WA YA UJASILIAMALI KUHUSU...
Baada ya watumishi waliokuwa na Elimu ya darasa la saba "kutimuliwa mbali"
Zilitoka nafasi za watendaji wa Kata, Vijiji, na mtaa huku Mkoani kwetu na moja ya sifa zilikuwa Elimu isiyopungua form...
1.Tembo pamoja na ukubwa wake akitembea hana kishindo kabisa miguu yake kwa chini ni kama ina sponge hivi.
2.Tembo anaukubwa wa tani 7
3.Tembo jike hubeba mimba miaka 2
4.Tembo mtoto huzaliwa...
Habari wajuvi Wa kunyanyambua na kudadavua!
Tangu serikali hii ianze kazi, imekuwa na utaratibu Wa kuwa na kigugumizi katika utoaji Wa taarifa za magonjwa ya milipuko,
Mtakumbuka Taasisi nyingi...
HABARI,
Kwa taarifa hizi zilizoandikwa kwenye magazeti sio za kubezwa ila ni vitisho tu na vita inayoendelea hasa vya watu wasiopenda maendeleo ya sasa ya taifa letu.Kama ni kushinikiza kazi...
Kama zamani wakati unakuwa uliwahi kuwaza kumtumikia Mungu, lakini badae ukapiga kona kwenye maisha mengine leo nina ujumbe wako;
Watu wengi wamedanganywa sana na shetani kupitia kiwanja cha...
In the Book of Genesis of the Hebrew Bible, chapters one through five, there are two creation narratives with two distinct perspectives. In the first, Adam and Eve are not mentioned (at least not...
Waziri wa sheria na Katiba Prof Paramagamba Kabudi akizindua Mpango wa usajili na utoaji wa vyeti vya kuzaliwa kwa mkoa wa Simuyu na Mara kwa watoto wa miaka mitano.
Hivi karibuni Waziri wa...
Wadau habari,
Baada ya Kazi ngumu,nimeona nikapumzike Mji Kasoro bahari!
Je ni hotel gani Nzuri na ya kisasa Ambayo Ina Range 50,000-100,000
Mkoani Morogoro?
Nimeota nimepata msichana, akanipeleka kwenye synagogue, Huko nikanyweshwa maji ya zamzam Na kulishwa manyama.
Naomba mnisaidie kujua maana yake.
1. Nataka nijue maana ya kupata msichana ndotoni...
WATU watatu wamenusurika kifo mjini Morogoro baada ya kutokea ajali mbaya ya lori la mizigo, (Semi Trailer) ambalo dereva wake ameshindwa kulimudu na kuparamia duka la dawa za binadamu.
Hali...
Do you want to study in Australia,China,USA,UK,Canada,India,South Africa etc??
Do you want to have Diploma, degree,Masters,PhD via ONLINE LEARNING mode within your country without getting to...
JESICA HOGAN, mama wa watoto sita mkazi wa Riley, Kansas, Marekani, amejifungua mtoto pekee wa kiume katika korido ya hospitali ambayo alikuwa anawahishwa kwenda kujifungua.
Mtoto huyo...
Kama jinsi alivyolitibua kwenye sukari na kudai anataka kushusha bei matokeo yake ikapanda na hadi leo chai ni anasa hata ukienda kwa mama ntilie hakuna ule uhuru wa sukari kukaa kwenye kikombe...
Habari,
Wataalamu Naomba Kujua Ni kiwango Gani Cha Mwisho Kinachoweza kutumwa Kwa Western Union hapa Tanzania. Kwa Mkupuo Mmoja Kutoka Google Adsense. Pia Kama Kutakuwa na Mtaalamu yoyote Anayejua...
hello JF,
mimi sio mchumi,i must declare that first....
ila hili jambo halihitaji uweledi,
weka kodi ndogo,
itawa attract watu wengi,
hapo,utaongeza mapato.......
kuliko kuweka kodi kubwa...
Wakati viongozi waliopo madarakani walivyokuja kuomba kura wanakuja kwa unyenyekevu, heshima na ahadi nyingi zote zikiwa za kutetea wananchi wanyonge. Wakipata ukubwa wanaanza kuja na "decrees"...