Habari wana jamvi, kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema "kuheshimu taaluma husika,
Juzi tumeona mh mbunge Goodluck Mlimba akiomba radhi kwa kushika sindano hali ya kua yeye si daktari au...
Wakuuuu kuna Yule Jamaa ambae alidai kuiba mahindi na mwisho kushindwa kushusha huo mzigo toka kichwani. Nimejaribu kumsikiliza kwenye clps Fulani hivi. Nimegundua kuwa Jamaa alipanga dili na huyo...
UTAPELI KUPITIA TIGO/MPESA
hivi ni kweli serikali haiwezi kudhibiti hili?hivi ni kweli MTU hawezi kuripoti namba iliyomfanyia utapeli ikazuwiwa?au tatizo wananchi hawajuwi jinsi ya kufanya?na kwa...
Jeshi letu la wananchi na jeshi letu la police wanalaumiwa sana hasa kipindi hiki cha utawala wa JPM kuwa halifanyi kazi kama sheria zinavyolitaka pasipo kupendelea upande wowote
Wapinzani...
Leo ni siku ya nne, lakini hakuna alamu yoyote ya ndege ya Malaysia Airlines, haijulikani kama imedondoka au imezama baharini na kama ingezama mabaki yangeonekana au hata kama ingelipuliwa mabaki...
Saaafi kabisaa naamini watalii watakuja kuona alipotokea binadamu wa kwanza sasa sijui ni Adam au!! Naimani Edeni ilikuwa ndani yaTanzania. Ahsante Maliasili kwa utafiti huu.
Utafiti waondoa...
Hello JF
Kama saa moja iliyopita nimefika nyumbani baada ya kutoka safari. Nilikuwa mkoani. Baada ya kumpumzika kidogo nikaamua kuoga maji ya baridi ya bomba. Maji ya DAWASCO. Maji haya yananuka...
Yaani natumia halotel ni majanga tupu kifurushi cha 500 cha mb 500 hakikai hata masaa sita nikiingia watssap na kugoogle kishaisha
Hata huwa sina tabia ya kuangalia video ila nashangaa kinaisha...
Hi wandg nahitaji mtu mwenye turubai gumu lisilovuja lkn limetumika kwa ajili ya shughuli fulani ukubwa liwe mita 20 kwa 20 au zaidi! Mwenye nalo anipm tufanye mapatano nikiridhia tulipane ahsante!
Wakuu amani za mungu ziwe juu yenu,
Kumekuwa na mazungumzo ambayo kwa kweli yanasikitisha sana na kushangaza juu ya stori zinazoenezwa kuhusu mbwa kwamba hii dini ya Uislamu inaharamishaje mbwa...
Baraza la mitihani la taifa (Necta) limetangaza kwamba mitihani ya kuhitimu kidato cha sita pamoja na ualimu kwa mwaka 2018, inatarajiwa kuanza kufanyika kesho, Mei 7 hadi Mei 25 nchi nzima katika...
Eneo la Mlima Rhotia-Karatu mkoani Arusha eneo ambalo mwaka 2017 palitokea ajali ya basi la wanafunzi wa shule ya LUCKY VINCENT na kusababisha vifo vya wananfunzi 32, Walimu 2 pamoja na dereva wa...
MAHAKAMA YATEKETEA KWA MOTO MBEYA USIKU HUU.
Mahakama ya Mwanzo Uyole jijini Mbeya imeungua kwa moto na kuteketeza kila kitu mahakamani humo ikiwemo taarifa na mafaili yote ya kesi...
Nimewafuatilia Airtel kuhusu matangazo yao wanayorusha kwenye TV.Nimegundua kwamba Airtel matangazo yao hawatengenezi Tanzania licha ya sisi WaTz kuwa na kampuni nzuri tu zinazoweza kutengeneza...
Dar es Salaam. Kama ulidhani kwamba hekaheka zinazotokana na mvua inazoendelea kunyesha katika maeneo mengi ya nchi hususan mikoa ya Pwani inakaribia kumalizika, utakuwa unajidanganya.
Chukua...