Tetesi: Hakuna utata, binadamu wa kwanza alitokea Tanzania. Nakupenda sana Tanzania!!!!

adam na hawa wangekuwepo wangekuwa na takribani miaka 6000.
huyo mdau wa tanzania anamamiaka nadhani mamilioni.
adam na hao jamaa ni maji na mafuta
 
Hapo wamefanya utafiti kwa kile walichokipata. Yawezakana katika kila nchi kuna clue zaidi ya hizo ni kwa sababu tu hazijaonekana.Suala la kusema binadamu wa kale zaidi aliishi nchi fulani ni uongo kabisa kwani kila sehemu jamii mbalimbali zilianza kuishi kwa wakati mmoja. Tofauti ni kidogo tuu kwa yale ambayo hayakukaliwa awali " Terra nullius" ambayo baadaye wahamiaji walipamiliki. Unaweza kutangazia dunia hivyo kwa utafiti wako kesho nchi nchingine wakafanya ''excavation'' na kufanikiwa kupata vitu vya kale zaidi ya hivyo mmnvyo claim kuwa vya zamani zaidi
 
Tanzania hatuna cha kujivunia tena ktk kundi la jamii yenye akili timam inatakiwa tukae nao mbali,ikiwa kwa miaka 50+ tunaongozwa na chama kimoja na maendeleo hakuna na hata dalili za kukikataa hiko chama hatuna then tujiiteje?Zombies?

Hao watalii wakija kutalii huku wanazidi kushangaa tunavyotia aibu,mbuga za wanyama tunazo na wanyama karibia wote duniani tunao,madini tunayo ardhi yakutosha tunayo na bahari tunayo na vingine vitaje but haijulikani kama ndo tunatoka kwenye vita au ndo tunaingia vitani maana kila mmoja anaonekana ana njaa.
 
Tanzania hatuna cha kujivunia tena ktk kundi la jamii yenye akili timam inatakiwa tukae na mbali,ikiwa kwa miaka 50+ tunaongozwa na chama kimoja na maendeleo hakuna na hata dalili za kukikataa hiko chama hatuna then tujiiteje?Zombies?

Hao watalii wakija kutalii huku wanazidi kushangaa tunavyotia aibu,mbuga za wanyama tunazo na wanyama karibia wote duniani tunao,madini tunayo ardhi yakutosha tunayo na bahari tunayo na vingine vitaje but haijulikani kama ndo tunatoka kwenye vita au ndo tunaingia vitani maana kila mmoja anaonekana ana njaa.

Tubadilike. Unajua UAE, Oatar, Oman, Saudi Arabia wasimamizi wa kila kitu watu wenye elimu wengi wanatoka nchi za nje na wamendelea sana.

Pilots, Engineers, Architectures, Planners, Managers, wengi wanatoka nje, wenyewe wanawaambia tunataka hivi vitu wanawapa pesa na Jamaa wanafanya kazi nzuri kabisa.

Miaka 5/10 tukiplan vizuri tutakuwa mbali sana.
 
Mkuu usijidanganye edeni haikuwa Tanzania .

Kama Dunia inaamini hivyo tutumie hii fursa kupata maendeleo na kupiga hatua. Hadi sasa watalii wengi wanaenda Kenya kuangalia mlima Kilimanjaro. Wanatumia fursa ya sisi kulala.
 
Sijui kuwa wa kwanza ndio sababu ya kuwa hivi
Bora tungekuwa wa mwisho

Kupanga ni kuchagua. Mipango yenye tija, Madhubuti, yenye malengo ya uhakika, na wasimamizi makini inahitajika.

Tunaweza kujifunza kutoka Oman, Singapore, Botswana. Muhimu kuwa serious na makini sana.

Wachawi ni sisi wenyewe.
 
Wachawi hawa hapa

20180504_201426.jpeg
 
Back
Top Bottom