Hello JF
Kama saa moja iliyopita nimefika nyumbani baada ya kutoka safari. Nilikuwa mkoani. Baada ya kumpumzika kidogo nikaamua kuoga maji ya baridi ya bomba. Maji ya DAWASCO. Maji haya yananuka, yananuka, yananuka!
Hali ndiyo hiyo. Wahusika wachukue hatua za haraka kurekebisha hali hii.