"TING wameshinda tuzo kuwa King'amuzi bora hapa Tanzania."
Mimi mwenyewe nimefurahi sana na huduma za TING. Natumia King'amuzi yao kwa miaka miwili na sina shida kabisa. Rafiki yangu Yusuph...
Wasalaamu, kama kichwa cha habari kinavojieleza, kuna mtoto ameokotwa anaitwa Magreth anasema kwao Tabata, kama kuna mtu anaemfahamu mtoto huyu au wazazi wake wasilianeni kwa namba hii; 0784226375...
Kipindi hicho kila mtoto alikuwa Na ndoto aje kuwa Nani pindi ikiwa Mkubwa , wengi tuliathiriwa Na mazingira yanayotuzunguka katika kujenga ndoto zetu..
Mfano me nilitamani Sn nije kuwa dereva wa...
Nimepanga kutumia hela isozid laki moja ktk vitu vidogo vidogo kariakoo, cha ajabu imefika zaid ya lski mbili, kifupi ktk manunuz ninamatatizo.
Njia zipi bora?
Mheshimiwa Rais akiwa mkoa Wa kagera mwaka mpya 2017 wakati akifungua mradi Wa ujenzi mpya Wa high school ya ihungo alisema ataifanya ihungo ifanane Geneva ikimalizika.binafsi nipo bukoba nimefika...
Watu wengi walipokuwa wadogo walikuwa na ndoto kama mtoto huyu kwasasa,je wengi ndoto zao huwa kweli au ni kinyume chako.....Unakumbuka ndoto yako ya utotoni?
Mhadhiri wa Chuo cha Biashara katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Rose Mdenye ameuawa kwa madai ya kuchomwa kisu na mumewe usiku wa kuamkia leo Mei 26 kwa wivu wa mapenzi.
Akizungumza na...
Amani iwe nasi sote.
Kila binadamu lazima ataonja mauti na atarudi mavumbini! Ni maumivu makali sana kumpoteza ndugu au rafiki au jamaa yako. Maana hutamuona tena hapa Duniani bali mbinguni kwa...
Habari ya jumapili wanajanvi
Mada tajwa hapo juu yahusika
Binafsi nilikuwa nje ya mipaka yetu wakati zoezi zima la uandikishwaji na upatikanaji wa vitambulisho hivi lilipokuwa linafanyika. sasa...
Kamati Maalum ya Uchaguzi wa gesi iliyoundwa na Spika Job Ndugai, mwishoni mwa mwaka jana, imewasilisha ripoti yake jana na katika mambo iliyobaini ni mmoja wa watumishi wa Kampuni ya PanAfrican...
Naam ! Kumekucha sasa…
Mwenye ujuzi wa namna ya kuwa Mganga wa kienyeji kama vile Mti Mkavu . Manyaunyau . Sangoma n.k!
Nataka nipate nguvu na uwezo wa ajabu wa kuperform na kurahisisha baadhi...
Wakuu habari zenu,
Najuta na nathubutu kusema kwamba sitokaa nipande tena magari ya magazeti kwani spidi zao ni za kuogopa na kidogo tu tungepata ajali pale Wami kama si kudra za mwenyezi mungu...
Leo nimemsikia Bonge wa PB Clouds FM anasema barabara ya Sumbawanga-Tunduma ina km kama 225 na matuta kama 214 (naweza kukoksea kidogo namba). Kifupi kila km1 ina tuta.
Hii ni barabara ya mkoa...
Hivi huu wizi kutoka Tigo ni laini yangu tu a zote,!!? Kila nikiweka vocha hata iwe ya 500 ninunue vocha kupitia muamala wa kibank Tigo pesa...ni lazima nikatwe shilingi 100 hata ninunue vocha...
Many women with early-stage breast cancer who would receive chemotherapy under current standards do not actually need it, according to a major international study that is expected to quickly...
Mapacha walioungana, Consolata na Maria bado wanaendelea kutibiwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) jijini Dar es salaam.
Pichani, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipofika hospitalini...