Kwa yeyote aliepotelewa na mtoto.

Yuyo Ahumile Shamalendi

JF-Expert Member
Mar 10, 2018
993
782
Wasalaamu, kama kichwa cha habari kinavojieleza, kuna mtoto ameokotwa anaitwa Magreth anasema kwao Tabata, kama kuna mtu anaemfahamu mtoto huyu au wazazi wake wasilianeni kwa namba hii; 0784226375 au 0718642322.
IMG-20180603-WA0000.jpg
 
Aisee sipati picha wazazi wake wanavyo haha kumtafuta...jamani sambazeni habari hii kwenye magroup ya wasapu
 
Wasalaamu, kama kichwa cha habari kinavojieleza, kuna mtoto ameokotwa anaitwa Magreth anasema kwao Tabata, kama kuna mtu anaemfahamu mtoto huyu au wazazi wake wasilianeni kwa namba hii; 0784226375 au 0718642322.View attachment 793367

Wazazi jitahidini hata mara moja moja basi ratiba za Chakula ziwe zinabadilika makwenu na msikariri kwamba kila siku mlo ni Ugali, Maharage na Mnafu hadi sasa mnasababisha Watoto wenu wanazitafuta Nyama nyumba za mbali kwa Kilomita / Maili na kujikuta hadi wanapotea japo wanakuwa tayari wameshashiba walivyovizoea na pengine shibe imewalevya hadi wanapotea.
 
Jamani. ..

Wazazi /walezi matumbo joto. ..

Katoto kazuri kenyewe. ......

Utakuta kameulizwa baba anaitwa nani, kakajibu baba or daddy

Mama yako anaitwa nani, Kenyewe Mama.

Bora hata kamejua Tabata itaweza kusaidia kidogo. ...
 
Back
Top Bottom