Njia ipi niitumie kupata kitambulisho cha utaifa

Ronee

Senior Member
Jun 1, 2018
156
155
Habari ya jumapili wanajanvi

Mada tajwa hapo juu yahusika
Binafsi nilikuwa nje ya mipaka yetu wakati zoezi zima la uandikishwaji na upatikanaji wa vitambulisho hivi lilipokuwa linafanyika. sasa nimerudi na sielewi nianzie wapi kukipata kitambulisho hiki. ninakihitaji tena kwa haraka kwa ajili ya michakato ya hapa na pale.

Naomba mnijuze wadau ni wapi nianzie ili kufanikisha zoezi hili. karibuni.
 
Panda gari mpaka morogoro mvomero wapo wanaandikisha
 
Kwa sasa upo mkoa gani? Nenda kwenye ofisi ya Nida ya wilaya unayoishi kachukue fomu ujaze kisha uirudishe Nida pamoja na viambatanisho muhimu watakavyokwambia
 
Back
Top Bottom