Kwa uelewa wangu finyu wa biblia kitimoto haruhusiwi kuliwa, lakini makanisa mengi ya kikristo yamehalalisha, naomba kujua je kuna sehemu kitimoto ameruhusiwa kuliwa?
Haya ni maoni yangu. Naomba mods wa JF murudishe utaratibu wa zamani wa Alerts au mtenganishe alerts za new threads na zile za likes na qoatations. Huu utaratibu wa kuchanganya alerts zote pamoja...
Mna heri ninyi ambao ndugu zenu wakifa mnawazika kwa heshima na makaburi yao yanabaki kama alama ya uwepo wao duniani. Ole ni kwetu sisi tunaoweza kupotezwa wakati wowote na ndugu zetu wasione...
MIMI MTAKATIFU BWANA YESU KRISTO NASEMA; NENO LANGU LIMEGEUZWA DUNIANI NA WACHUNGAJI.
Mimi Mtakatifu BWANA YESU KRISTO nasema hivi, neno langu linavyogeuzwa na wachungaji wanaohubiri katika...
Habari za makuu wakuu na nawatakia idi njema kwaa wahusika.
Leo naona nitoe mchango au mtazamo wangu kuhusiana na wanayosema watu ETI HIZI DINI NDO ZINATUPA UOGA WA MAISHA HAYA YA DUNIA yani...
Ni pale jamaa alipodai kuwa Ibrahim ametoa Ishmael kama sadaka na kushushwa kondoo.
Mimi nijuavyo ni Isaka..
Fredius Snowden,
5th Avenue Madson, NY758, USA
Ni pale jamaa alipodai kuwa Ibrahim ametoa Ishmael kama sadaka na kushushwa kondoo.
Mimi nijuavyo ni Isaka..
Fredius Snowden,
5th Avenue Madson, NY758, USA
Kwa uelewa wangu finyu wa biblia kitimoto haruhusiwi kuliwa, lakini makanisa mengi ya kikristo yamehalalisha, naomba kujua je kuna sehemu kitimoto ameruhusiwa kuliwa?
Jeshi la Polisi mkoani Arusha limewatia mbaroni watu watatu wanaotuhumiwa kuendesha mauaji tisa ya wanawake katika Mji wa Mto wa Mbu wilayani Monduli mkoani Arusha.
Waliokamatwa ni Richard...
Siku kama tatu zilizopita nilipita kkoo ili kununua baadhi ya bidhaa, kwanza kabisa nilipita ktk duka moja la vifaa vya solar,nikanunua bidhaa zenye thamani ya zaidi ya sh laki mbili,nikashangaa...
Habarini wakuu! Poleni na majukumu ya siku.
Kitimoto kila kona ya nchi lazima umkute. Si vijiwe, si viringe, si bar, si grocery na si hotels.
Tumeshindwa kuthibiti kweli?
Tujitafakari.
Sent...
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea ivi inakuwaje unamkuta mzee anafanya kazi nzuli ana uwezo mkubwa wa kifedha lakini unakuta familia yake hapo nyumbani wanaishi maisha ya shida.
Nazagumza...
Kama kijana nimemAliza chuo nimeamua kujiajiri Kwenye kazi ya udereva.
Ninatafuta mdhamini ambaye ataninunulia tvs 125cc pikipiki mpya
Kwa masharti ya yeye kupata oya kupelekwa mjini bure kila...