Kitimoto ndani ya biblia umeruhusiwa?

Kitimoto ndani ya biblia umeruhusiwa?

year 2006

Member
Joined
Jan 14, 2016
Posts
87
Reaction score
57
Kwa uelewa wangu finyu wa biblia kitimoto haruhusiwi kuliwa, lakini makanisa mengi ya kikristo yamehalalisha, naomba kujua je kuna sehemu kitimoto ameruhusiwa kuliwa?
 
Bwana Yesu Kristu aliruhusu mbona au hukusikia kanisani kwenu maneno "Kimuingiacho mtu sio Najisi bali kimtokacho!"..
 
Back
Top Bottom