Kaka kwa sisi wakristo wakatoliki, Tunaamini ujio wa Yesu Kristo, ni kufanya upya Agano la wanadamu na Mungu...
yeye alikuja kuukombo ulimwengu kwa kumwaga damu yake pale msalabani...
ujio wake kama mwana wa Mungu, Mungu mwenyewe anasema waziwazi zaid ya mara tatu:-
Huyu ni mwanangu mpendwa niliyependezwa naye, msikilizeni yeye, Mathayo 17: 5-6
Yesu huyo huyo kwa maana ya kuitangaza injili na kuleta ujumbe wa Mungu duniani...
anatwambia " Hakuna kitu kilicho nje ya mtu ambacho kikimwingia chaweza kumtia unajisi, bali vile vimtokavyo, ndivyo vimtiavyo unajisi yule mtu.
16 Mtu akiwa na masikio ya kusikilia, na asikie." Marko 7:15-16
hayo ndio mafundisho ya Yesu...
lakini dhumuni ya kitabu cha walawi ukisoma kwa ushirikiano wa roho mtakatifu na ukajumlisha na mapokeo ya kanisa utaona kuwa
"Lengo la sheria za vyakula lilikuwa kuwafanya waisraeli kujitenga na mataifa mengine yote. Baada ya kusudi hili kumalizika Yesu akakili vyakula vyote ni safi,
vile vile mtume waraka wa Mtume Petro kwa warumi na Timetheo anasema vyakula vyote ni safi
rum 14:14, 20..
1Timetheo4:3-5
Sent using
Jamii Forums mobile app