Mwenye mkataba kati ya Dangote Cement na TPDC kuhusu makaa ya mawe naomba anisaidie niupate.
Pia mkataba kati ya Dangote Cement na TPDC kuhusu gesi wa miaka 20 pia nauomba.
Tuanze kuangalia...
Inaumiza sana wazazi, walezi na wafadhiri kugharamikia nauli na malazi pindi MTU aitwapo interview inapaswa makampuni na taasisi za serikali zijipange pindi zinapotaka kuajili na sio kuzirudisha...
New York iko masaa 3 mbele ya Calfornia...lakini hii haimaanishi Calfornia inaenda taratibu au labda New York iko mbio sana..Zote ziko sawa isipokuwa kila moja ina TIME ZONE yake
Kuna mtu yuko...
Ninashindwa kupata maneno mazuri ya kutumia ili kumaanisha majonzi, kilio na masikitiko yangu. Kwa kweli inaudhi, inakera na inaumiza.
Kwamba kwa miaka kadhaa sasa nilitafuta namna ya kukabiriana...
Ili upate kazi nchi zingine unafanya mitihani sita. Not easy kabisa mfano mzuri India. Hapa nchini just one exam umeshalamba kazi.
Still Tanzania kuna urahisi sana.Tukifeli ni sisi wenyewe vichwa...
Mesaki: Mhadhiri aliyepata shahada ya uzamivu kwa kutafiti uchawi
APR 16, 2012by RAIA MWEMAin
Mmoja wa wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Simeon Mesaki alitunukiwa shahada yake ya...
Kuna hii tabia mimi huwa siielewi kabisa ya kuzungumza kilugha kwa sauti ya juu kwenye public areas. Tabia hii wanapenda sana watu wa Kanda ya Ziwa, Wamasai na watu wa Kanda ya Kati.
Unaeza...
Pontio Pilato Alikuwa Nani?
“PILATO alikuwa mtu mwenye dhihaka, mwenye kutilia shaka mambo, na anayewashangaza watu. Watu fulani humwona kuwa mtakatifu, wengine humwona kuwa mtu dhaifu...
Mwandishi wa habari wa gazeti la Uhuru, Constantine Mathias, amehojiwa na polisi kwa tuhuma za matumizi mabaya ya mitandao na kujihusisha na vitendo vya rushwa.
Akizungumza jana Agosti 23 Kamanda...
Serikali ione umuhimu wa kushawishi wawekezaji katika sekta ya viwanda kuja kuwekeza kwenye viwanda vya kuchakata vifaa vya michezo.Nilikua naangalia Azam Sports HD 2 saa 2 ambayo imerusha Kaitaba...
Nasemea kwa wale mnaofuatilia mahubiri ya mtumishi wa bwana na mwalimu wa saikoloji bwana Piter mitti mingi akiwa anahubiri sauti yake huwa inafanana sana na yule mbunge machachari kwenye chama...
Serikali ione umuhimu wa kushawishi wawekezaji katika sekta ya viwanda kuja kuwekeza kwenye viwanda vya kuchakata vifaa vya michezo.Nilikua naangalia Azam Sports HD 2 saa 2 ambayo imerusha Kaitaba...
Habari wakuu,
Kuna tetesi kuwa tarehe 29.05.2018 zaidi ya wafanyakazi 600 walio na vyeti feki wamepewa barua za kuachishwa kazi pasipo malipo yeyote kwani walikuwa wakiibia serikali hivyo...
Serikali ione umuhimu wa kushawishi wawekezaji katika sekta ya viwanda kuja kuwekeza kwenye viwanda vya kuchakata vifaa vya michezo.Nilikua naangalia Azam Sports HD 2 saa 2 ambayo imerusha Kaitaba...
Ninashindwa kupata maneno mazuri ya kutumia ili kumaanisha majonzi, kilio na masikitiko yangu. Kwa kweli inaudhi, inakera na inaumiza.
Kwamba kwa miaka kadhaa sasa nilitafuta namna ya kukabiriana...
Ninashindwa kupata maneno mazuri ya kutumia ili kumaanisha majonzi, kilio na masikitiko yangu. Kwa kweli inaudhi, inakera na inaumiza.
Kwamba kwa miaka kadhaa sasa nilitafuta namna ya kukabiriana...
ni muda sasa cjaona post za kina shunie,mwifwa,mzigua90 nk.hivi ni kwamba wameteuliwa kuwa ma-rc,ma dc au makatibu tawala ndio maana mimi cwaoni huku?mwenye jibu anijuze tafadhali
Sent using...
TV Station pekee yenye "Mazungumzo Baada ya Habari" na "Matangazo ya Vifo". Na taarifa ya habari ina tarehe!!
Kama kuna station nyingine zenye haya tujuzane. La sivyo TBC tafadhali mjipime...