Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Rais wa China alipatia bara la Afrika mabilioni ya dola; asema zisitumike katika miradi ya kifisadi Rais Xi Jinping wa China jana Jumatatu aliipatia Afrika kitita kingine cha dola bilioni 60 na...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwanza Kabisa nitoe pole kwa mbunge wa Mbeya Mjini Mheshimiwa Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu Kufiwa kuna uchungu sana hasa kwa mzazi Hasa Mama. Leo Mbunge/Msanii Sugu mama yake ameagwa jijini...
7 Reactions
192 Replies
30K Views
Nikiwa mtanzania mpenda watanzania Wanajitekenya nawapa mafundi na mainjinia wazo la bure la kutajirika.Mkitajirika mkinikumbuka sawa msiponikumbuka sawa.Wazo hilo liko hivi gesi ya kupikia...
7 Reactions
47 Replies
5K Views
Wazazi anzeni au tuanze Kujiandaa Kisaikolojia kwani nina uhakika matokeo ya Wanafunzi wa Shule za Msingi na Upili kwa mwaka huu na huenda hata kwa miaka kadhaa ijayo yatakuwa ni mabaya na...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wahudumu wa Club Masai, mjini Kahama. Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Anamringi Tesha, akiongea kwenye warsha ya Kituo cha Kutetea Haki za Binadamu (LHRC), Mjini Kahama, amepiga marufuku matangazo...
3 Reactions
33 Replies
8K Views
Habari mabibi na mabwana Aisee kwenye maisha kuna mambo mengine tunakutana nayo, mengine yanasahaulika mengine hayasahauliki kirahisi. Katika mizunguko ya hapa na pale, nimewahi kukutana na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
MEYA wa Jiji la Dar es Salam, Isaya Mwita amesema anafikiria kama inawezekana kuweka sheria ndogo zenye kuwabana wakazi wa jiji hilo ili kuacha mazingira katika hali ya usafi na watakaokamatwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu Naomba kujuzwa ada chuo kikuu bugando kwa course ya medical labaratory ni kiasi gani
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Hivi karibuni na hasa juma hili kumekuwa na taarifa za matukio mengi ya walimu kuwaadhibu wanafunzi kwa viboko kiasi cha kupelekea vifo, maumivu makali, majeraha na hata ulemavu. Adhabu hizi...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
4HM7SRKH Imethibitishwa. Umepokea Tsh485,000.00 kutoka 255752623855 - LIVING LEKULE mnamo 5/5/18 saa12:16 PM Baki yako ya M-Pesa ni Tsh1,035,320.00. Huu ni wizi mpya...wanakupigia wanakuambia...
6 Reactions
53 Replies
6K Views
Apply - DLIIC Themes In this Challenge Window, DLIIC is partnering with the World Food Programme (WFP), the world’s leading humanitarian agency fighting hunger and malnutrition around the world...
0 Reactions
2 Replies
921 Views
Mzuqa, Siku hizi humuoni Ritz wa JF humu kisa siku hizi wamebanwa. Eti kasusia hadi JF. Binadamu so selfish. Ten years magenge ya mafisadi yanaingiza vitu nchin bila kulipa kodi its...
0 Reactions
1 Replies
809 Views
Kile kitendo ni cha kiovu sana na cha udhalilishaji, naamini ndugu aliepigwa hakiwezi kumtoka akilini mwake kamwe, ukizingatia ana familia na jamii inayomzunguka, video ipo na inaonyesha...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mnapotoa taarifa ya ikulu kwa maandishi hakuna ulazima wa kuandika mahali/ mkoa mlipo kwa wakati huo. Mfano mnapotoa taarifa mkiwa dodoma, kule chini mwa barua mnaandika neno Dodoma, mkiwa Chato...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wizara husika,hebu jaribu kuboresha hiki kituo cha Taifa, Muonekano wa picha ni hafifu sana,picha mbaya. Watangazaji hawavai vizuri,sio kwamba hawavai nguo za gharama,mpangilio wa mavazi...
6 Reactions
31 Replies
4K Views
Mwanzoni walisema bomba la mafuta litaajiri watu kibao tukaaply tena nakumbuka pale posta karibu na cbe tulifurika kwelikwwli baada ya tangazo kutoka tu. Lakini tulipoteza muda mpaka leo wamepiga...
7 Reactions
27 Replies
3K Views
Mkandarasi hayuko site amechimba sehemu za kuweka culverts bila kukamilisha huku akiacha njia mbadala zisizo na kiwango zinazopelekea uharibifu wa vyombo vya moto na foleni zisizo za lazima. Na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
nafasi hizi za kuteuliwa anaeteua ni kama refa wa mpira wa miguu wanaoteliwa ni kama wachezaji pindi anaeteuliwa akitenda faulo kuna matatu kupewa kadi ya njano au kadi nyekundu inategemea na refa...
0 Reactions
2 Replies
988 Views
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini afanya mabadiliko kwa baadhi ya makamanda wa Polisi
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ninawapongeza hivi karibuni kuwaona wale waliokuwa wanatuma SMS za kushawishi wananchi watume Pesa kwa njia za simu kitapeli. Lakini kuna hili kundi la pili la jamaa wanajifanya waganga...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…