Habari Wakuu naomba kuuliza. kuna mchakato mmoja wa ajira nimeufanya ambapo nimepata kuajiriwa na kampuni moja ya wazungu inaitwa CERTAS energy U.K. hapo awali walinitumia interview yao kwa njia...
Moja ya vitu ningeshauri tuvibadilishe katika mfumo wetu wa utawala ni kuimarisha taasisi na vitengo mbalimbali katika mfumo wetu wa serikali ili viweze kujisimamia na kujiendesha wenyewe. Tayari...
Malkia Vashti aasi amri ya mfalme Ahasuero
1Mfalme Ahasuero, alipotawala ufalme wake ulikuwa mikoa 127, toka India hadi Kushi.
2 Kiti chake cha enzi kilikuwa katika mji mkuu Susa.
3Mnamo mwaka...
TUTATOKA TU - HEDARU SAME
[emoji842]Wiki hii ilikuwa ni kutengeneza barabara umbali wa km. 3 kwa kumwaga moram na kuisambaza katika kitongoji cha Mbuyuni B kijiji cha Hedaru kata ya Hedaru...
Sijajua kwanini…
Matajiri wengi sana wana wadudu, si wababa, na si wamama ! Ukiona tajiri anakushobokea, jiangalie sana…
Kiukweli maatajiri wengi wana ' wadudu ' wa hatari sana… magonjwa...
Toka jana usiku baadhi ya maeneo ya wilaya mufindi Umeme umekuwa wa matatizo, unawaka na kuzima. Kama kuna shida ni bora wangezima kabisa kuliko mtindo huu wa kuuacha umeme usio na nguvu, watu...
Though hatuwezi kuwa na jibu kulingana na experience but we can think about it kufwatana na uelewa, imani n.k, kama kichwa kinavyoeleza si kitu kigeni masikioni mwako au pengine umewahi kushuhudia...
Huruma ya Mkuu wa nchi inahitajika mahala pengi hasa ukizingatia mazingira ya mkosaji.
Familia zinapata shida wazazi wanapoachishwa kazi.
Ni kweli Wafanyakazi waliokuwa wamefoji vyeti vya shule...
Mkazi wa Bagamoyo ambaye jina halikutajwa amefariki baada ya kupigwa risasi akidaiwa kukaidi amri ya wanajeshi wakati akiingia kambi ya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Bagamoyo, mkoani Pwani...
Habari Wadau,
Tunaomba mwenye kujua kinachoendelea kuhusu ujenzi wa barabara ya Ardhi - Makongo Juu - Goba (kipande cha Ardhi - Makongo Juu). Ni muda mrefu umepita, kumekua na sintofahamu, na...
NIMUONAVYO HUYU BWANA "WATAPATA TABU SANA"
GILLES Muroto ndilo jina. Ni Kamanda wa Polisi Mkoa (RPC) Dodoma. Daraja lake kijeshi ni Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP).
Kuna mambo...
Wakuu, mimi ni bachela, bachela haswa..
Sipend kulaga vyakula vya mtaani hata siku moja ila mara moja moja sana na ikitokea wapenzi wangu wakija huwa nawaambia wapike msosi mwingi ukae tu kwenye...
Jengo la ghorofa nne, lililojengwa ndani ya Road Reserve huko Nairobi, linabomolewa muda huu.
Rais Kenyatta ameamua kutoichekea rushwa.
Jengo hilo la mhindi Chandra Govin ambaye anasadikika kupata...
Habari
Tafadhali mods msiuunganishe huu uzi na ule wa kweny sticky kwa sababu ya sensitive
mwaka jana 2016
Personal A/C monthly charges ilikuwa ni Tsh 1600
ATM charges- kudraw pesa via atm...
Hili ni swali tu na wala halina maana ya kukashfu dini ya mtu.
Je ni sahihi kuruhusu au mtu kuvaa mavazi yenye mlengo wa kidini katika ofisi za umma?
Hili jambo liliteta mjadala huko Ufaransa...
Kama kichwa kinavyosema
Spacio 2002 and above
Mintcondition,fullvibali
Lowmilage
Nomber c au d,D itapewa kipaumbele
Dau m6 maongezi kidogo yapo
Nicheki kwa picha WhatsApp 0656800446 nije na fundi...
KISIMACHAMAARIFA
September 7, 2018
WATAALAMU WA MASOMO YA SEKONDARI
NEW: SEPTEMBA 2018
DEMTATUZI OPEN SCHOOL
INAKULETEA PROGRAMU KABAMBE KWA WAHITIMU DARASA LA SABA 2018. YAANI...
" LOLIONDO" yarudi tena! Pengine hii inaweza kuwa stori nyingine ya kuvutia kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, baada ya mtu mwingine kujitokeza na kuanza kutoa huduma inayofanana na ya Babu wa...
Huyu si mwingine ni ripota wa ITV kutoka mkoa wa Mara George Marato, Inabidi serikali imwangalie mwandishi huyu kwa jicho la 3 amekuwa akibabikizia watu kesi zisizo na ushahidi kupelekea wahusika...