Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Narudia tena masoud masoud
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Wimbo ndo huo hapo chini; Hauruhusiwi, hauruhusiwi, ewe dereva sikia maneno haya usiwe kiziwi, endesha gari ila usipige honi, hauruhusiwi, hauruhusiwi, hauruhusiwi kubonyeza kitufe cha honi...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Kwa watu wa umri wangu naamini wachache sana tumewahi kukiona kitabu hiki cha hekaya za Abunwasi nikawahi sikia kiliwahi zuiliwa miaka ya nyuma kisichapishwe je kwa wahenga huyu kiumbe Abunwasi...
9 Reactions
168 Replies
75K Views
Habari wana jamiiforums. Sisi wakazi wa jimbo la ukonga tunashukuru kufunguliwa kwa daraja la TAZARA. Kero kubwa iliyobakia kwa sasa ni foleni ya BABANA. Tunaomba kituo cha daladala kwa mabasi...
4 Reactions
193 Replies
26K Views
Kwema wadau? Ni muda sijaandika, nilikuwa nafunga Ndoa, kwa mliokosa Mwaliko jueni kuwa hamkuchanga au michango haikunifikia. Turudi kwenye mada: Kuna watu wanabeza mengi, ikiwemo Hospitali...
4 Reactions
11 Replies
3K Views
kwanza niseme wazi tu, Tofauti na torch Gari za bei mbaya haikamatwi NA traffic never; Gari Kali za million 300, 400 au 700 unaanzaje kuikamata kwa mfano? yaani trafic hata itokee dharula aipige...
11 Reactions
40 Replies
9K Views
Hapo ukiangalia kwa makini unaona JK amevaa saa mkono wa kulia na Kenyatta amevaa wa kushoto. Yupi yupo sahihi?
2 Reactions
73 Replies
73K Views
This is a Nigerian Evangelist, I was listening to him on you tube. He is condemning pastors who take seeds from their followers. He is saying if you want these poor people to havest what they...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Kwa kuzingatia vyanzo vyangu nyeti huyu ndugu shafii dauda anashikiliwa na jeshi la polisi tangu juma lililopita. Kuna uwezekano anaandaliwa kesi mbaya. Nitarudi hivi punde.
3 Reactions
61 Replies
11K Views
Niende moja kwa moja katika mada wapendwa wangu. Huwa nilikuwaga na msimamo yakuwa sitanunua gari zilizotumika Tanzania na mara zote nimekuwa nikiagiza mwenyewe kwani watanzania tunahulka fulani...
27 Reactions
213 Replies
34K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linamshikiliwa mwanafunzi anayetuhumiwa kumuua mwenzake mwenye umri wa miaka kumi na tisa wote wakiwa wanasoma Shule ya Sekondari Mteule akituhumiwa kumchoma kisu...
6 Reactions
96 Replies
13K Views
UTANGULIZI Nianze Kwanza kutoa pongezi zangu za dhati kabisa kwa Wananchi wote wa Mkoa wa Dar es Salaam hasa wale wa Jimbo la Uchaguzi la Ukonga kwa kufanya Uchaguzi ambao kwa kiasi fulani...
9 Reactions
38 Replies
4K Views
wakuu, hali ni mbaya sijui nikiwalaumu hawa watu nakosea au nikosahihi, 1. supervisor wangu: isey huyu jamaa ananibana mpaka nashindwa kupumia pamoja nimshkaji wangu ila duuh ka ananisnichi kwa...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari ya mchana wana Jamvi?pia nachukua furusa hii kuwapa pole Wale wote waliokumbwa na matatizo Mbalimbali,katika siku hii adhimu.nisiende mbali sana Wana Jf,kubwa nataka mni Saidie kudadavua...
1 Reactions
6 Replies
48K Views
Wakuu, kila nikijaribu kuweka namba yangu ya simu (TTCL) jibu naambiwa namba hiyo si sahihi. Najiuliza ili ujisajiri na Uber ni lazima uwe na Tigo tu kama ninavosikia tangazo moja la Tigo radioni!
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu sana zile kelele za Wahitimu maelfu na maelfu wa fani mbalimbali hapa nchini kwa miaka mingi, sijazisikia kabisa. Si mtaani, si kwenye media. Malalamiko yamepungua sama. Hawa ndugu...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari wanajukwaa! Huenda si wa kwanza kuandika uzi wa aina hii lakin kwa aina ya madhara yanayopatikana katika michezo hii imenisukuma haswaa!! Kuandika tatizo hili. Naweza kusema kuwa kamali...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Wakuu nimekuwa nikiifuatilia hii wilaya iliyopo mkoa wa Tanga kwa wenyen taarifa nzuri juu ya wilaya hii kuhusu fursa na maisha yake kiujumla yakoje kwa mtu anayetaka kwenda kuanza harakati...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Pamoja na Rais kusema kwamba kuwapa sh 5000 trafic kwa ajili kupiga buti kiwi hakuna shida lakini imekuwa too much kwa traffic kuchukua sh 2000 za daladala inasikitisha sana na hapo ndipo TAKUKURU...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Pamoja na mdau mmoja kuniambia kua Vitengo vya afya mjini arusha vimetangaza ushindi wa vita hiyo mm binafsi nilifanikiwa kwenda kwnye maduka ya dawa nikiwa na dalili za malaria na kuhitaji dawa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…