Influencer na mfanyabiashara mwenye asili ya Nigeria na uraia wa Uingereza, Igho “Tiny” Ubiribo, anayejulikana pia kwa majina ya Denisi au Ego, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 43 baada ya...
Na. Philipo Hassan - Kilimanjaro
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), leo Septemba 5, 2026, ametembelea eneo ulipozuka moto ndani ya Hifadhi ya Taifa Kilimanjaro kwa lengo la...
Hello Jamii,
Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam, lakini mara kwa mara huwa naenda Tanga kwa ajili ya shughuli mbalimbali. Kwa kweli, nimeshtushwa na hali ya usalama ninayoiona kwa sasa katika maeneo...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, amesema CCM inatamani kuona Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akiwa nje ili aendelee kushiriki katika ujenzi...
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma ametangaza kufutwa kwa zoezi la usafi lililokuwa likifanyika kila Jumamosi katika Mkoa wa Dodoma.
Akizungumza katika tukio hilo, Mkuu huyo wa Mkoa amesema hatua hiyo...
Sina sababu ya kupost picha yoyote kuwadhalilisha lakini, mtu anakaa afrika kusini miaka 30 lakini dah.
Maisha ya ugenini tena kwenye nchi za watu mambo ni magumu sana, ni kheri kama vipi, kaza...
Masikini wanabidi wazae watoto wachache na matajiri au watu wenye kipato kikubwa wazae watoto wengi na sio kama ilivyo Masikini wamekuwa wabishi. Kukubaliana na huu ukweli
Watoto wanahitaji...
Wamiliki wa nyumba Sinza, wilayani Ubungo, wamesema wanakusudia kwenda mahakamani kufungua kesi ya kupinga rasimu ya mpango mpya wa 2026/2046 wa kuliendeleza eneo lote la kata hiyo unaotarajiwa...
Bahari inakuona, inakusikia na inaweza kufanya maamuzi ya ajabu juu yako mpaka watu wakashangaa 😳 unapoiangalia Bahari unaona ni maji tu ila bahari ina uhai, yaani Bahari inajua nini kinaendelea...
Huyu jamaa hachoki kupiga wajinga. Mara ya mwisho niliona ana mradi wa kuuza viwanja watu wakalizwa.
Alikuwa na mradi wa mbuzi nako ikawa lawama. Karudi tena na mradi wa kuku ila kwa kutumia...
Wakazi wa maeneo ya Mwenge na Mlalakuwa, Dar es Salaam, wamekuwa wakikabiliwa na changamoto za maji taka, ikiwemo kuziba kwa baadhi ya mifumo ya majitaka na maji machafu kuonekana katika maeneo ya...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, akizungumza katika kipindi cha Medani Kuu cha Star TV, amesema Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imeendelea...
Wananchi na wanunuzi wadogo wa felo katika eneo la Mgodi wa Msasa, Runzewe, Geita, tunaomba msaada wa mamlaka husika kutokana na changamoto kubwa inayotukabili katika shughuli zetu za kila siku za...
Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Washington DC umepokea barua pepe kutoka “The Office of Chief Medical Examiner” ikitaarifu kuwa inachunguza kifo cha Mtanzania aitwaye KHALIFA H. SIWA...
Inasikitisha sana kwa kinachoendelea dhidi ya vijana wanaozamia South Africa kutafuta maisha huku wakiwa hawana elimu wala ujuzi wowote. Wengi wao ni kutoka wilaya ya Temeke hasa kata ya Mbagala...
Naomba majibu tafadhali na mtuambie watu wa mikoani imekuwaje kuwaje mpaka kumpa nafasi kubwa namna hiyo mpaka Rais analalamika mji wenu ni mchafu mpaka aibu.
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda, amesema kuwa katika kuongeza ufanisi wa Bandari ya Dar es Salaam katika utoaji wa huduma, Wilaya hiyo imeandaa Kata 10 kwa ajili ya matumizi ya Bandari...