Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

ndugu na jamaa, habari za sasa? naombeni kufahamishwa kwa kina historia ya huyu mtu.. mi kwa kifupi nimeanza kumsikia toka mwaka 1999 nikiwa mdogo sana maeneo ya kule nyamongo tarime! naombeni...
3 Reactions
41 Replies
14K Views
Salamu ndg zangu ! Naomba tu kujua ama kupata kauelewa kidogo hapa. Swala la utekaji na ' watu wasiojulikana '. Ni nchi gani ambayo watu au mtu alitekwa kwa siku 7 mfululizo halafu akapatikana...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Katika pitapita yangu mtandaoni nimegundua washiliki wengi wa bss msimh huu hawako siliasi,na wenda wapo kwaajili ya kuchekesha Swali la mara kwa mara walilokua wakiulizwa pindi wanahojiwa na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Waziri wa Elimu Ong Ye Kung amesema kuwa kuanzia mwakani hakuta kuwa na ripoti za kuwapanga wanafunzi kulingana na viwango vya ufaulu Wazazi watapokea taarifa za watoto wao kupitia vikao vya...
4 Reactions
102 Replies
8K Views
Mabasi ya kampuni ya Tahmeed na Darlux leo asubuhi yamehusika kwenye ajali baada ya basi moja kuligonga lingine maeneo ya Namanga mkoani Arusha mpakani mwa Tanzania na Kenya, yote yakitokea...
0 Reactions
35 Replies
9K Views
Watumishi wengi wa Mungu wanawindwa kwenye maeneo hayo, ni vema kuombea sana kiongozi wako wa kiroho. #Eneo la ndo za watumishi kwa sasa linawindwa mnoo
2 Reactions
2 Replies
952 Views
Kuna wakati nilimwambia rafiki yangu kuhusu hizi "TV show" za askari wakifyeka mashamba ya bangi iliyostawi vizuri kuwa zitakuja kuwa "majuto ni mjukuu" Leo jumatano wananchi wa Canada watanunua...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Kufuatia sakata la kutekwa MO labda niwafahishe kuhusu matumizi ya CCTV kwa wafanyabiashara wa hapa kwetu. Wafanyabiashara wa TZ kamera wanazitumia kuangalia movement ya wateja. Kwa hotels...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Maji haya meusi ni mchanganyiko wa kinyesi na mkojo,maji haya yanakatisha kati kati ya soko kuu la DODOMA , Nawapa pole wanannchi wanaotumia soko hilo kwani wanalishwa kinyesi bila kujua.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hii nimei-observe kwa watu wengi sana..
4 Reactions
38 Replies
6K Views
Huu ni uzoefu nimeupata kwa rafiki zangu wengi na majirani... Ukisikia ndoa inafungwa ndani ya RC % kubwa hao watu wamezaa watoto 2+. Sijajua nini sababu..kinachonishangaza ni jinsi pombe...
5 Reactions
122 Replies
11K Views
Ripoti ya mwaka 2018 iliyotolewa na Benki ya Dunia inaonyesha kila Mwanamke duniani hadi mwaka 2016 anajifungua wastani wa chini ya watoto 2.5 Idadi hiyo ni kama nusu ya ilivyokuwa katikati ya...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Nimekutana na mzee flani kanipa pete hii bure kanambia itanisaidia. Kwa imani yangu nimekataa kuamini. Kuna muungwana yeyote anajua ukweli wa hizi mambo??
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Ndg zangu nawasalimu wote amani iwe kwenu! Naomba kupewa ushauri wa kisheria kwa jambo kama hili, mfano kama baba na mama wamepata mtoto na ili kuzuia kupata mtoto mwingine ndani ya muda mfupi...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Ni siku ya 3 sasa tajiri na mmoja kati ya watu walioajiri vijana wengi zaidi TZ haonekani. Baada ya wiki watakaobaki na maumivu ni familia pekee huku jeshi la polisi litazidi kujinasibu...
39 Reactions
134 Replies
28K Views
Ikiwa ni lazima, ni kwa sheria ipi? Au ni gari za aina gani zinalazimika kuwa na kisanduku hiki? Ni swali limekuwa likulizwa na wengi. JIBU NI KWAMBA: Japokuwa first aid kitbox ni kifaa muhimu...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Nimebahatika kupita sehemu moja iv nikakuta mtu anamwambia Kaka mmoja at Mu-israel ana mfupa mmoja wa mkono. Binafsi nikaona nikimbilie huku kuuliza. Huenda kuna mtu alishawahi shuhudia hilo...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
ALIYEWAHI kuwa Balozi wa Canada nchini Tanzania, Andrew McAlister, anajitahidi kupigania mkataba wa madini kutoka kwa Barrick Corporation uende kwa Kampuni Jervois Mining Limited ya Australia...
3 Reactions
2 Replies
3K Views
They're said to be the biggest tycoon richest men in Tanzania Mohammed Dewji MO Rostam Aziz Said Salim Bakhressa Reginald Mengi Ally Awadh Kannabar Subash Patel Ghalib Salim...
11 Reactions
299 Replies
183K Views
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa JKT nchini Meja Jenerali Martin Busungu ameiomba serikali kulipatia jeshi hilo sehemu ya samani za ndani zilizopo kwenye makontena yaliyoingizwa na Mkuu wa mkoa wa...
5 Reactions
29 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…